-
Niger yasema wahajiri 34 wameaga dunia wakielekea Ulaya
Jun 16, 2016 11:00Serikali ya Niger imesema wahajiri 34 raia wa nchi kadhaa za Afrika wakiwemo watoto wadogo 20 wameaga dunia katika jangwa la nchi hiyo baada ya kutelekezwa na mtu aliyekuwa akiwapeleka barani Ulaya.
-
50,000 watoroka Niger kufuatia hujuma za magaidi wa Boko Haram
Jun 07, 2016 23:08Melfu ya watu wamekimbia nyumba zao kusini kaskazini mwa Niger kufuatia mfululizo wa mashambulizi toka kwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram walioko mjini Bosso mkoani Diffa.
-
Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram
Jun 05, 2016 09:54Wananchi wa mji mkuu wa Niger, wamefanya maandamano makubwa ya kutangaza uungaji mkono wao kwa wahanga wa mashambulizi ya hivi karibuni ya genge la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger
Jun 04, 2016 03:43Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeteka na kudhibiti mji wa Bosso, ulioko kusini mashariki mwa mpaka wa Niger.
-
Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram
May 29, 2016 09:47Jeshi la Niger limetangaza kuwa limeangamiza wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika kijiji cha Bosso, kusini mashariki mwa eneo la Diffa karibu na mpaka na Nigeria.
-
Nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la Boko Haram zatakiwa kutekeleza ahadi zao
Apr 27, 2016 09:53Mkuu wa vikosi vya Kiafrika vya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo hao kufungamana na ahadi zao.
-
Rais wa Niger ameapishwa leo
Apr 02, 2016 12:03Rais wa Niger ameanza rasmi kazi zake katika kipindi kingine cha urais baada ya kula kiapo leo Jumamosi.
-
Watu 61 wafariki dunia kwa homa ya uti wa mgongo nchini Niger
Mar 30, 2016 01:45Umoja wa Mataifa umeeleza kuwa jumla ya kesi 736 za homa ya uti wa mgongo zimesajiliwa rasmi huko Niger mwaka huu, huku miongoni mwa kesi hizo watu 61 wakiripotiwa kuaga dunia kwa ugonjwa huo nchini humo.
-
Duru ya pili uchaguzi wa rais Niger bila mpinzani
Mar 20, 2016 12:05Duru ya pili ya kiti cha rais nchini Niger imefanyika leo huku kukiwa na hali tete ya usalama na wapinzani wakisusia zoezi hilo na mgombea wa pili akiwa anapata matibabu Ufaransa.
-
Serikali ya Niger yatakiwa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kambi ya upinzani
Mar 13, 2016 23:02Jumuiya ya Wafanyakazi ya Niger imeitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.