-
Abdollahian: Iran haina vizingiti katika kukuza ushirikiano wake na Nigeria
Jun 12, 2022 04:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina vizingiti vyovyote katika njia ya kustawisha uhusiano wake na Nigeria.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 07:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Magaidi 800 wa Boko Haram wauawa katika eneo la Ziwa Chad
Jun 11, 2022 02:34Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni za Vikosi vya Pamoja vya Kimataifa (MNJTF) katika eneo la Ziwa Chad, magharibi mwa Afrika.
-
Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua makumi Nigeria
Jun 07, 2022 08:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kanisani huko Nigeria hivi karibuni, sanjari na kutoa mkono wa pole kwa serikali ya Abuja na familia za raia wa nchi hiyo ambao waliuawa katika hujuma hiyo.
-
Watu 50 wauawa katika hujuma kanisani Nigeria, Rais Buhari alaani ukatili huo
Jun 06, 2022 07:51Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja la kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
-
Watu 8 wameaga dunia baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka Lagos, Nigeria
May 03, 2022 04:43Watu wasiopungua 8 wamepoteza maisha baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka katika jimbo la Lagos nchini Nigeria.
-
Zaidi ya 100 waaga dunia katika mripuko kwenye kiwanda cha mafuta Nigeria
Apr 24, 2022 08:01Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kusafisha mafuta ghafi kusini mwa Nigeria.
-
Benki ya Dunia: Idadi ya maskini nchini Nigeria kupindukia milioni 95
Apr 16, 2022 02:25Benki ya Dunia imetahadharisha kuwa, idadi ya watu wanaosumbuliwa na umaskini na ukata wa kupindukia nchini Nigeria itaongezeka na kufikia watu milioni 95.1 mwaka huu 2022.
-
Watu wasiopungua 28 wameaga dunia baada ya boti yao kupinduka katika mto Shagari, Nigeria
Apr 14, 2022 02:53Watu wasiopungua 28 wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Watu hao walikumbwa na mauti jioni ya Jumanne wiki hii wakati walipokuwa wakijaribu kuvuka mto Shagari kwa ajili ya kutafuta kuni.
-
Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake
Apr 12, 2022 10:27Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kuishinikiza serikali ya nchi hiyo impe Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pasipoti yake ya kusafiria iliyotwaa.