Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Vita vya kurithi mikoba ya Buhari vyaanza kupamba moto Nigeria, Osinbajo atangaza nia

    Vita vya kurithi mikoba ya Buhari vyaanza kupamba moto Nigeria, Osinbajo atangaza nia

    Apr 11, 2022 11:42

    Vita vya kurithi mikoba ya Rais wa sasa wa Nigeria, Muhammad Buhari, vinapamba moto mapema kati ya wanasiasa kadiri muhula wa pili wa Muhammadu Buhari unavyozidi kuyoyoma.

  • Watu 168 hawajulikani waliko baada ya magaidi kushambulia treni Nigeria

    Watu 168 hawajulikani waliko baada ya magaidi kushambulia treni Nigeria

    Apr 05, 2022 07:14

    Shirika la Reli la Nigeria (NRC) imetangaza kuwa hatima ya watu 168 haijulikani mpaka sasa, kufutia shambulizi la kigaidi lililolenga treni ya abiria jimboni Kaduna, Kaskazini mwa nchi siku chache zilizopita.

  • Watu 8 wauawa baada ya magaidi kushambulia treni Kaduna, Nigeria

    Watu 8 wauawa baada ya magaidi kushambulia treni Kaduna, Nigeria

    Mar 30, 2022 06:44

    Watu wasiopungua wanane wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga treni ya abiria jimboni Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.

  • Wanachama 7,000 wa Boko Haram, ISWAP wajisalimisha Nigeria

    Wanachama 7,000 wa Boko Haram, ISWAP wajisalimisha Nigeria

    Mar 24, 2022 03:31

    Wanachama wasiopungua 7,000 wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wenzao wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) wamejisalimisha kwa maafisa usalama katika kipindi cha wiki moja iliyopita kaskazini mwa Nigeria.

  • 'Kafyu' yatangazwa kaskazini magharibi mwa Nigeria baada ya 83 kuuawa

    'Kafyu' yatangazwa kaskazini magharibi mwa Nigeria baada ya 83 kuuawa

    Mar 22, 2022 12:37

    Serikali ya jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa Nigeria imetoa agizo la kutotoka nje nyakati za usiku na mchana, baada ya makumi ya watu kuuawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katika eneo hilo.

  • Watu 16 wauawa katika shambulizi la 'magaidi' Zamfara Nigeria

    Watu 16 wauawa katika shambulizi la 'magaidi' Zamfara Nigeria

    Mar 22, 2022 06:26

    Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulizi la genge la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Watu 100 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini magharibi ya Nigeria

    Watu 100 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini magharibi ya Nigeria

    Mar 12, 2022 08:00

    Watu wapatao 100 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi la maharamia na magaidi kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine

    Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine

    Mar 11, 2022 04:43

    Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo.

  • Watu wenye silaha Nigeria wauwa watu wasiopungua 57

    Watu wenye silaha Nigeria wauwa watu wasiopungua 57

    Mar 09, 2022 12:20

    Waombolezaji huko kaskazini magharibi mwa Nigeria jana waliwazika ndugu zao baada ya kuibuka mapigano kati ya kikundi cha walinda usalama wa jamii na watu wenye silaha wasiojulikana na kusababisha kuuliwa watu wasiopungua 57.

  • Gavana wa Borno Nigeria aonya kuhusu kundi la kigaidi la ISWAP

    Gavana wa Borno Nigeria aonya kuhusu kundi la kigaidi la ISWAP

    Feb 27, 2022 08:11

    Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS