Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Shambulio la anga la Nigeria laua watoto saba, lajeruhi watano nchini Niger

    Shambulio la anga la Nigeria laua watoto saba, lajeruhi watano nchini Niger

    Feb 21, 2022 07:44

    Watoto saba wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika shambulio la anga ambalo imeelezwa kuwa limefanywa kimakosa na jeshi la Nigeria katika eneo la Maradi kusini mwa Niger.

  • Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Feb 20, 2022 07:56

    Turathi mbili muhimu za kihistoria za Nigeria zilizoibiwa na Uingereza katika enzi za ukoloni hatimaye zimerejeshwa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, baada ya kupita zaidi ya miaka mia moja.

  • Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen

    Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen

    Feb 19, 2022 07:43

    Waislamu nchini Nigeria wakiitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen.

  • Watu 17 wafariki dunia katika mlipuko wa lori la mafuta nchini Nigeria

    Watu 17 wafariki dunia katika mlipuko wa lori la mafuta nchini Nigeria

    Feb 19, 2022 07:39

    Kwa akali watu 17 wamepoteza maisha yao katika tukio la mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ogun, kusini magharibi mwa Nigeria

  • Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3

    Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3

    Feb 18, 2022 03:08

    Watu wasiopungua 59 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa homa ya Lassa katika sehemu mbalimbali za Nigeria tokea Januari 3 mwaka huu hadi sasa.

  • Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni

    Feb 07, 2022 12:51

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.

  • Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern

    Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern

    Feb 06, 2022 04:42

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.

  • Polisi ya Nigeria yadai kukomboa mateka 94 kutoka kwa magenge ya wahalifu

    Polisi ya Nigeria yadai kukomboa mateka 94 kutoka kwa magenge ya wahalifu

    Feb 03, 2022 08:04

    Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa watu 94 wameokolewa baada ya kuchukuliwa mateka na makundi yenye silaha katika majimbo ya Zamfara, Niger na Katsina.

  • Watu 220 wameuawa Nigeria tangu mwaka huu uanze

    Watu 220 wameuawa Nigeria tangu mwaka huu uanze

    Jan 20, 2022 04:25

    Kwa akali watu 220 wameuawa katika mashambulio ya magenge ya kigaidi na makundi ya uhalifu na ujambazi katika jimbo la Niger nchini Nigeria.

  • Majambazi waua raia 50 nchini Nigeria

    Majambazi waua raia 50 nchini Nigeria

    Jan 17, 2022 08:01

    Majambazi wameshambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua raia 50 huku magenge ya wahalifu yakiendelea kutekeleza mauaji katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS