-
Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria
Jan 15, 2022 00:48Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu uliua maelfu ya watu nchini Nigeria katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.
-
Watu 52 wauawa katika hujuma ya majambazi Nigeria
Jan 14, 2022 08:10Majambazi waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wametekekeleza mashambulizi katika majimbo ya Plateau na Niger nchini Nigeria na kuuawa raia wasiopungua 52.
-
Wanafunzi 30 waliotekwa nyara waachiwa huru kaskazini magharibi mwa Nigeria
Jan 10, 2022 02:48Wanafunzi waliokuwa wametekwa nyara kaskazini magharibi mwa Nigeria wameachiwa huru baada ya kushikiliwa na wanamgambo wenye silaha kwa muda wa miezi saba.
-
Wanavijiji 200 wameuawa katika mashambulizi ya Zamfara Nigeria
Jan 09, 2022 13:34Viongozi wa serikali katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria wametangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia katika mashambulizi ya magenge ya wabeba silaha katika eneo hilo imeongezeka na kufikia watu 200.
-
Sheikh Zakzaky: Kamanda Soleimani alikuwa mwanastratejia aliyezima njama za maadui Syria na Iraq
Jan 04, 2022 02:52Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema, njia ya Muqawama, in shaa Allah itakamilika kwa kudhihiri Imam wa Zama (Allah Aharakishe Kudhihiri Kwake).
-
Wanamgambo 100 wa ISIS wauawa katika mashambulizi ya anga kaskazini mwa Nigeria
Dec 22, 2021 13:37Shirika la habari la Ufaransa limenukuu vyanzo vya kijeshi na vya ndani vikisema kuwa wapiganaji 100 wa kundi la kigaidi la ISIS waliuawa wiki iliyopita katika mashambulizi ya jeshi la Nigeria dhidi ya kambi za kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wa Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria
Dec 13, 2021 08:19Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria wameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa sita tangu yalipotokea mauaji ya kinyama yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi ya Waislamu katika mji wa Zaria
-
Sheikh Zakzaky aadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria
Dec 05, 2021 14:34Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amewaongoza Waislamu wa Nigeria katika maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.
-
Nigeria yashambulia asasi ya Marekani kwa kuipaka matope
Nov 15, 2021 11:48Serikali ya Nigeria imeijia juu asasi moja isiyo ya kiserikali ya Marekani iliyodai kuwa, utawala wa nchi hiyo ya Afrika Magharibi unaunga mkono ugaidi.
-
Raia 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Nov 12, 2021 02:23Watu wasiopungua 15 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiiwa katika viijiji vya kusini mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulio ya ulipizaji kisasi yaliyotokelezwa na kundi la majambazi.