-
Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Biafra (IPOB), kufikishwa mahakamani leo
Nov 10, 2021 06:32Kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa Nigeria, anatazamiwa kurejeshwa mahakamani hii leo Jumatano katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
Mgodi wa dhahabu waporomoko na kuua watu 85 nchini Nigeria
Nov 09, 2021 08:08Makumi ya wachimba migodi wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu nchini Nigeria.
-
Ripoti ya OCHA: Mamilioni ya Wanigeriia wanahitajia misaada ya kibinadamu
Nov 07, 2021 07:34Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya kibinadamu, OCHA imetangaza kuwa, raia milioni 11 nchini Nigeria wanahitajia misaada ya kibinadamu.
-
Juhudi za uokoaji zinaendelea, watu 6 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya ghorofa kuporomoka Nigeria
Nov 02, 2021 13:26Juhudi za kutafuta manusura wa jengo lililoporomoka katika mji wa Abuja huko Nigeria zinaendelea huko vyombo rasmi vikiithibitisha kuwa hadi sasa watu 6 wameaga dunia katika ajali hiyo.
-
Waasi washambulia gereza Nigeria, zaidi ya mahabusu 800 watoroka
Oct 24, 2021 07:51Idara ya Magereza ya Nigeria imetangaza kuwa watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wameshambulia magereza moja huko kusini magharibi mwa nchi hiyo na kuachia huru mahabusu 837.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza makumi ya wanamgambo kaskazini mwa nchi
Oct 19, 2021 13:31Wanamgambo 24 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram na genge hasimu Daesh huko magharibi mwa Afrika maarufu kwa jina la ISWAP wameuawa katika operesheni mbili za wanajeshi wa Nigeria, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Kiongozi wa genge la kigaidi la Daesh aangamizwa nchini Nigeria
Oct 15, 2021 06:35Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamizwa kiongozi wa genge la kigaidi la Daeshi yaani ISIS kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 20 wauawa katika shambulio la wabeba silaha nchini Nigeria
Oct 10, 2021 07:50Watu wasiopungua 20 wameuawa katika shambulio la wabeba silaha huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Nigeria yakomboa karibu mateka 200 kaskazini magharibi mwa nchi hiyo
Oct 09, 2021 03:28Askari usalama wa Nigeria wamefanikiwa kuwakomboa karibu mateka 200 katika mashambulizi kadhaa yaliyofanyika dhidi ya kambi za magenge ya wahalifu katika msitu mkubwa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wanavijiji 29 wengine wauliwa na watu wenye silaha nchini Nigeria
Oct 07, 2021 11:44Taarifa za karibuni kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa, watu 29 wengine wameuawa katika mashambulio ya watu wenye silaha kwenye maeneo ya kaskazini mashariki na kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.