-
24 wauawa katika mapigano baina ya Boko Haram na ISWAP Nigeria
Oct 04, 2021 04:12Kundi la kigaidi la Boko Haram limeua wapiganaji 24 wa kundi hasimu la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu la Mkoa wa Afrika Magharibi (The Islamic State West Africa Province) kwa kifupi ISWAP, huko kaskazini mwa Nigeria.
-
Wanajeshi 22 wa serikali wauliwa na magaidi huko Sokoto, Nigeria
Sep 28, 2021 11:46Watu wenye silaha wameua wanajeshi 22 wa serikali ya Nigeria katika shambulio baya kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni.
-
Wanajeshi 20 wa Nigeria wauawa na Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi
Sep 26, 2021 08:03Kwa akali wanajeshi 20 wa Nigeria wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika baada ya kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Zaidi ya wafungwa 100 walitoroka jela Nigeria, watiwa mbaroni
Sep 15, 2021 02:35Afisa mmoja wa idara ya jela ya Nigeria ametangaza habari ya kukamatwa zaidi ya wagunwa 100 waliototoka jela nchini humo.
-
Kipindupindu chaua zaidi ya watu 100 katika maeneo ya mpaka wa pamoja wa Niger na Nigeria
Sep 04, 2021 06:47Wizara ya Afya ya Niger imetangaza kuwa, watu zaidi ya 100 wameaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu ulioyakumba maeneo ya karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Nigeria.
-
Nigeria yafunga shule zote katika majimbo mawili kufuatia kuongezeka utekaji nyara
Sep 03, 2021 11:44Serikali nne za majimbo kaskazini na katikati mwa Nigeria zimetangaza vizuizi na hatua kadhaa kwa wakazi wa majimbo hayo katika jitihada za kukomesha vitendo vya utekaji nyara na jinai nyingine za utumiaji nguvu zinazoyaathiri maeneo hayo.
-
Zaidi ya wanafunzi 70 na walimu kadhaa watekwa nyara tena kaskazini mwa Nigeria
Sep 02, 2021 04:37Watu wenye silaha wameshambulia shule moja ya kutwa kaskazini mwa Nigeria na kuwateka nyara wanafunzi wasiopungua 73.
-
Mripuko wa kipindupindu waua watu 63 nchini Nigeria
Aug 31, 2021 13:44Makumi ya watu wameripotiwa kuaga dunia kutokana na mripuko wa maradhi ya kipindupindu nchini Nigeria.
-
Makumi ya wanafunzi waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru
Aug 27, 2021 08:00Makumi ya wanafunzi wa Chuo cha Kiislamu waliotekwa nyara huko Nigeria katika jimbo la Niger mnano Mei 30 mwaka huu wameachiliwa huru.
-
Watu 24 wauawa na wabeba silaha katika majimbo ya Katsina na Kaduna, Nigeria
Aug 24, 2021 03:11Watu wasiopungua 24 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya magenge ya wabeba silaha katika majimbo ya Katsina na Kaduna nchini Nigeria.