Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Polisi Nigeria washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura

    Polisi Nigeria washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura

    Aug 20, 2021 14:28

    Askari polisi nchini Nigeria jana Alkhamisi waliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (AS) na kuua na kujeruhi kadhaa miongoni mwao.

  • Buhari: Mauaji ya wasafiri wa Kiisilamu yalikuwa yamepangwa mapema

    Buhari: Mauaji ya wasafiri wa Kiisilamu yalikuwa yamepangwa mapema

    Aug 15, 2021 10:56

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, mauaji ya watu 23 waliokuwa wakirudi kutoka kwenye sherehe ya Waislamu nchini Nigeria lilikuwa shambulio la kukusudia na kupangwa na kwamba watuhumiwa wa mauaji hayo tayari wamekamatwa.

  • Spishi mpya ya kirusi cha corona cha Nigeria, ETA yaanza kusambaa kwa kasi duniani

    Spishi mpya ya kirusi cha corona cha Nigeria, ETA yaanza kusambaa kwa kasi duniani

    Aug 12, 2021 12:17

    Wataalamu wa kutambua aina za virusi wametahadharisha kuwa, kirusi cha corona cha Nigeria kinachojulikana kwa jina la Eta kinasambaa kwa kasi kubwa duniani.

  • 'Magaidi' 78 wauawa katika mashambulio ya anga ya jeshi la Nigeria

    'Magaidi' 78 wauawa katika mashambulio ya anga ya jeshi la Nigeria

    Aug 07, 2021 03:35

    Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuua makumi ya wahalifu wanaobeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua watu 115 kusini mwa nchi

    Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua watu 115 kusini mwa nchi

    Aug 06, 2021 05:54

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, jeshi la Nigeria limeua kwa uchache watu 115 kusini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Walioteka nyara makumi ya watoto nchini Nigeria wataka kikomboleo

    Walioteka nyara makumi ya watoto nchini Nigeria wataka kikomboleo

    Aug 04, 2021 12:06

    Watu wenye silaha waliowateka nyara takribani watoto 80 katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, wametaka walipwe fedha za kuwakombolea mateka hao.

  • Tuhuma mpya za Mwendesha Mashtaka dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Tuhuma mpya za Mwendesha Mashtaka dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Aug 04, 2021 00:54

    Mwendesha Mashataka wa Jimbo la Kaduna nchini Nigeria ametoa tuhuma mpya dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ikiwa ni siku chache tu baada ya kutolewa hukumu ya kuachiliwa huru kiongozi huyo.

  • Sheikh Zakzaky akabiliwa na tuhuma mpya siku chache baada ya kuachiliwa huru

    Sheikh Zakzaky akabiliwa na tuhuma mpya siku chache baada ya kuachiliwa huru

    Aug 02, 2021 08:10

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa tuhuma mpya dhidi Sheikhh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ikiwa ni siku chache tu baada ya mahakama ya Kaduna kutoa hukumu ya kuachiliwa huru kiongozi huyo wa Kiislamu.

  • Wanajeshi 15 wa Niger wauawa katika shambulio la kigaidi huko Torodi

    Wanajeshi 15 wa Niger wauawa katika shambulio la kigaidi huko Torodi

    Aug 02, 2021 06:56

    Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 15 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Wanachama 91 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria

    Wanachama 91 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria

    Aug 01, 2021 07:51

    Wanachama 91 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS