-
Wakenya milioni 14 wanasumbulia na njaa huku mgogoro wa chakula ukishtadi
Jul 11, 2022 11:09Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema Kenya ni miongoni mwa nchi 63 duniani zenye idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na lishe duni kutokana na uhaba wa chakula.
-
UN: Watu bilioni 2.3 walikumbwa na uhaba wa chakula 2021
Jul 07, 2022 07:52Taasisi za Umoja wa Mataifa zimeonya kuwa, kupanda kwa bei za chakula, fueli na mbolea kote duniani kulikosababishwa na vita vya Ukraine kunaiweka dunia katika hatari ya kutumbukia kwenye mgogoro mkubwa wa chakula na baa la njaa.
-
UN: Utapiamlo umeua watoto 200 nchini Somalia
Jul 06, 2022 06:16Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema kwa akali watoto 200 wamepoteza maisha nchini Somalia kutokana na utapiamlo.
-
Ripoti: Nusu ya watu wa Somalia wanahitaji msaada wa haraka wa chakula
Jul 04, 2022 10:58Maeneo ya kandokando ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yamekumbwa na wimbi kubwa la wakimbizi wanaolazimika kukimbia makazi yao kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame mkubwa huko kusini na magharibi mwa Somalia.
-
UN: Thuluthi moja ya Wasudan wanakabiliwa na njaa
Jun 17, 2022 11:22Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema zaidi ya asilimia 30 ya wananchi wa Sudan wanasumbuliwa na mgogoro mkubwa wa chakula uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, mzozo wa kisiasa na kupanda bei za chakula katika soko la dunia.
-
Watu 200,000 wapo katika hatari ya kufa njaa nchini Somalia
Jun 07, 2022 08:02Taasisi za Umoja wa Mataifa zimesema karibu robo milioni ya wananchi wa Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na baa la njaa lililosababishwa na ukame na mfumko wa bei za bidhaa kote duniani.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani kufuatia vita vya Ukraine
May 11, 2022 02:39Baa la njaa limegeuka na kuwa tatizo kubwa linaoukabili ulimwengu katika hali ya hivi sasa.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro mkubwa wa chakula Afrika
May 08, 2022 02:43Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kupanda pakubwa bei ya chakula na mafuta kutokana na vita vya Ukraine, kumeibua mgogoro mkubwa wa chakula barani Afrika ambao haujawahi kushuhudiwa.
-
UN: Idadi ya watu walio katika hatari ya njaa duniani inaongezeka
May 05, 2022 02:20Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa idadi ya watu walio katika hatari ya njaa duniani inaongezeka.
-
UN: Kiwango cha njaa nchini Yemen kuongezeka mara tano mwaka huu
Mar 15, 2022 08:15Umoja wa Mataifa unatabiri kuwa kiwango cha njaa kali nchini Yemen kitaongezeka mara tano katika mwaka huu 2022 kutokana na kuzorota kwa hali ya kibinadamu nchini Yemen.