-
UNICEF: Mamilioni ya watoto wa Yemen katika hatari ya kufa njaa
Mar 12, 2022 12:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mamilioni ya watoto wa Yemen wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na kusakamwa na njaa, huku muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia ukiendelea kufanya mashambulizi na kuliwekea mzingiro wa kila upande taifa hilo maskini la Kiarabu.
-
Mama na wanawe wawili wafa njaa nchini Somalia
Feb 14, 2022 03:11Mwanamke mmoja na watoto wake wawili wameaga dunia kutokana na makali ya njaa na kiu huko kusini magharibi mwa Somalia.
-
Tahadhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya eneo la Pembe ya Afrika
Feb 10, 2022 02:57Huku mizozo ya kisiasa na kijamii ikiendelea katika ukanda wa Afrika Mashariki, nchi nyingi za kanda hiyo zinakabiliwa na ukame mkubwa; na ambamba na hayo Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa ukame umesababisha takriban watu milioni 13 katika Pembe ya Afrika kukumbwa na njaa.
-
Zaidi ya Wazayuni milioni mbili na laki 5 wanaishi chini ya mstari wa umaskini
Dec 22, 2021 07:33Taasisi za misaada za utawala wa Kizayuni zimetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Wazayuni milioni 2 na laki 5 na 40,000 wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
-
Wayemeni zaidi ya elfu moja huaga dunia kwa njaa kila wiki
Sep 24, 2021 11:46Wananchi wa Yemen zaidi ya elfu moja hupoteza maisha kwa njaa na utapiamlo kila wiki nchini humo.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 11:43Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.
-
Oxfam: Dunia inakabilwa na mgogoro wa baa la njaa
Jul 09, 2021 06:41Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, watu 11 hufariki dunia kila baada ya dakika moja kote duniani kutokana na njaa.
-
Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia
Jun 11, 2021 02:13Kamati ya ngazi ya juu inayoongozwa na UN ambayo inajihusisha na kutafuta majibu ya haraka kwa mizozo ya kibinadamu inakadiria kwamba, karibu watu 350,000 katika mkoa wa Tigray uliokumbwa na vita huko Ethiopia wanasumbuliwa na baa la njaa.
-
Msambao wa COVID-19 washadidisha baa la njaa ulimwenguni
Apr 29, 2021 08:05Msambao wa virusi vya corona unaelezwa kuwa umeshadidisha baa la njaa katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa
Apr 01, 2021 12:09Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kwa akali Wakenya milioni moja na laki nne wanasumbuliwa na njaa.