-
Wayemeni zaidi ya elfu moja huaga dunia kwa njaa kila wiki
Sep 24, 2021 08:16Wananchi wa Yemen zaidi ya elfu moja hupoteza maisha kwa njaa na utapiamlo kila wiki nchini humo.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 07:13Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.
-
Oxfam: Dunia inakabilwa na mgogoro wa baa la njaa
Jul 09, 2021 02:11Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, watu 11 hufariki dunia kila baada ya dakika moja kote duniani kutokana na njaa.
-
Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia
Jun 10, 2021 21:43Kamati ya ngazi ya juu inayoongozwa na UN ambayo inajihusisha na kutafuta majibu ya haraka kwa mizozo ya kibinadamu inakadiria kwamba, karibu watu 350,000 katika mkoa wa Tigray uliokumbwa na vita huko Ethiopia wanasumbuliwa na baa la njaa.
-
Msambao wa COVID-19 washadidisha baa la njaa ulimwenguni
Apr 29, 2021 03:35Msambao wa virusi vya corona unaelezwa kuwa umeshadidisha baa la njaa katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa
Apr 01, 2021 07:39Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kwa akali Wakenya milioni moja na laki nne wanasumbuliwa na njaa.
-
UN: Mizozo imesababisha watu milioni 88 duniani wakabiliwe na njaa
Mar 14, 2021 04:31Umoja wa Mataifa umesema makumi ya mamilioni ya watu katika pembe mbalimbali za dunia wanaandamwa na njaa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na mizozo, migogoro na ukosefu wa uthabiti.
-
Indhari ya WFP na FAO kuhusu baa la njaa katika nchi kadhaa duniani
Nov 07, 2020 04:03Mashirika ya Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) yametahadharisha kuhusu njaa katika maeneo kadhaa duniani.
-
Sanders: Wamarekani milioni 10 wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa ajira
Sep 15, 2020 02:58Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amefichua kuwa, raia milioni 10 wa nchi hiyo wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa ajira.
-
UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa DRC, Sudan Kusini, Nigeria na Yemen
Sep 05, 2020 06:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, mamilioni ya watu wananyemelewa na kifo kutokana na baa la njaa na ukosefu wa usalama wa chakula katika nchi tatu za Afrika pamoja na Yemen.