Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

njaa

  • FAO: Idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka

    FAO: Idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka

    Jul 06, 2019 08:18

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake kwamba, idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka.

  • WFP: Mamilioni ya Wakongomani wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    WFP: Mamilioni ya Wakongomani wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Jul 03, 2019 07:29

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanahitajia msaada wa dharura wa chakula katika kipindi cha miezi sita ijayo.

  • Ripoti: Wakenya zaidi ya milioni 2 katika hatari ya kufa njaa

    Ripoti: Wakenya zaidi ya milioni 2 katika hatari ya kufa njaa

    Jul 02, 2019 11:47

    Mamilioni ya Wakenya wapo katika hatari ya kukumbana na baa la njaa na mgogoro mkubwa wa chakula kuanzia mwezi huu wa Julai.

  • UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    Jun 15, 2019 07:58

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema jumla ya watu milioni 7 sawa na asilimia 60 ya jamii nzima ya Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.

  • Njaa inazidi kuhatarisha maisha ya watu nchini Kenya, zaidi ya milioni moja wako hatarini

    Njaa inazidi kuhatarisha maisha ya watu nchini Kenya, zaidi ya milioni moja wako hatarini

    Mar 24, 2019 15:37

    Televisheni ya al Jazeera ya Qatar imeripoti leo kuwa, zaidi ya watu milioni moja wako katika hatari ya kuteketea kwa njaa katika kaunti na wilaya nyingi nchini Kenya kutokana na ukame wa muda mrefu.

  • WMO: Joto linaongezeka duniani, maafa yanazidi

    WMO: Joto linaongezeka duniani, maafa yanazidi

    Feb 07, 2019 07:34

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa duniani, WMO limesema ongezeko la viwango vya joto ni ishara ya wazi ya mabadiliko ya tabianchi ya muda mrefu, huku likisema miaka minne iliyopita viwango vilikuwa vya kipekee.

  • UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR

    UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR

    Nov 08, 2018 15:49

    Mpango wa Chakula Duniani WFP umesema watu milioni mbili wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura wa chakula huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN: Machafuko ya Sudan Kusini yanazuia ugawaji wa misaada ya chakula

    UN: Machafuko ya Sudan Kusini yanazuia ugawaji wa misaada ya chakula

    Oct 29, 2018 14:30

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, machafuko yanayoendelea nchini Sudan Kusini yanazuia operesheni za kugawa misaada ya chakula kwa watu wanaosumbuliwa na njaa kali katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

  • Ripoti: Njaa yawalazimisha Wayemen kula majani

    Ripoti: Njaa yawalazimisha Wayemen kula majani

    Sep 16, 2018 15:00

    Inaarifiwa kuwa, wananchi wa Yemen wanalazimika kula majani ya miti kutokana na kusakamwa na baa la njaa sambamba na kukosa kitu cha kula, huku mgogoro wa kibinadamu katika nchi hiyo maskini ya Kiarabu ukiingia katika hatua ya kuogofya.

  • UN: Kiwango cha njaa duniani kimeongezeka kwa mwaka wa tatu mtawalia

    UN: Kiwango cha njaa duniani kimeongezeka kwa mwaka wa tatu mtawalia

    Sep 12, 2018 07:52

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kiwango cha njaa duniani mwaka jana kiliongezeka kwa mwaka wa tatu mtawalia kutokana na mizozo ya kivita na mabadiliko ya tabia nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS