Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

njaa

  • FAO yatoa indhari kuhusu ongezeko la watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani

    FAO yatoa indhari kuhusu ongezeko la watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani

    Mar 24, 2018 04:35

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limetangaza kuwa idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani iliongezeka kwa asilimia 15 katika mwaka uliopita wa 2017.

  • FAO yatahadharisha kuhusu kuzidi ukosefu wa usalama wa chakula Yemen

    FAO yatahadharisha kuhusu kuzidi ukosefu wa usalama wa chakula Yemen

    Mar 01, 2018 07:30

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kwamba, hali ya ukosefu wa usalama wa chakula inazidi kuwa mbaya huko nchini Yemen.

  • FAO: Zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na njaa barani Afrika

    FAO: Zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na njaa barani Afrika

    Feb 25, 2018 02:48

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na baa la njaa barani Afrika.

  • Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua

    Rais wa Malawi awataka wananchi kuombea mvua

    Jan 20, 2018 04:39

    Rais Peter Mutharika wa Malawi amewataka viongozi wa serikali kuliongoza taifa hilo katika maombi maalumu ya kuomba mvua, katika hali ambayo nchi hiyo inakabiliwa na ukame na uhaba wa chakula.

  • FAO yataka uwekezaji zaidi katika kupambana na njaa na umasikini

    FAO yataka uwekezaji zaidi katika kupambana na njaa na umasikini

    Jan 05, 2018 03:51

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji zaidi katika uga wa kupambana na umasikini na njaa ulimwenguni.

  • Malawi yatangaza maafa katika wilaya 20 za nchi hiyo

    Malawi yatangaza maafa katika wilaya 20 za nchi hiyo

    Dec 18, 2017 14:29

    Malawi ambayo tayari inayosumbuliwa na mafuriko kutokana na mvua nyingi, imetangaza maafa katika wilaya 20 baada ya uharibifu mkubwa wa mazao ya kilimo uliosababishwa na hujuma ya wadudu wanaoharibu mazao na kutishia usalama wa chakula.

  • UN: Watu zaidi ya milioni 8.4 wa Yemen wapo katika ncha ya kufa njaa

    UN: Watu zaidi ya milioni 8.4 wa Yemen wapo katika ncha ya kufa njaa

    Dec 12, 2017 08:10

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, watu milioni 8 na laki 4 wamebakisha 'hatua moja' watumbukie katika mgogoro mkubwa njaa.

  • FAO yataka kuweko juhudi za kupambana na tatizo la njaa ulimwenguni

    FAO yataka kuweko juhudi za kupambana na tatizo la njaa ulimwenguni

    Nov 30, 2017 03:44

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuungwa mkono na kusaidiwa wazalishaji wadogo ili kukabiliana na tatizo la njaa ulimwenguni.

  • UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini

    UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini

    Nov 06, 2017 13:40

    Umoja wa Mataifa umesema watu milioni moja, laki mbili na elfu 50 wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Sudan Kusini.

  • The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Oct 17, 2017 15:12

    Gazeti la The Gardian linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya Myanmar katika kuficha dhulma na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS