-
UN: Watu zaidi ya milioni 800 wanakabiliwa na baa la njaa kote duniani
Sep 15, 2017 14:20Taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa zimesema kiwango cha njaa duniani kimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja uliopita na kwamba asilimia 11 ya idadi ya watu kote duniani inasumbuliwa na makali ya njaa.
-
UN: Ethiopia inakabiliwa na Janga la njaa linaloweza kuongezeka
Sep 06, 2017 03:42Uwekezaji wa kina unahitajika ili wakazi wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame uliokithiri katika jimbo la Somali nchini Ethiopia waweze kustahimili ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.
-
FAO: Idadi ya watu walioathiriwa na njaa itaongezeka
Jul 03, 2017 13:01Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema kuwa, watu milioni 20 wanasumbuliwa na njaa na utapiamlo kote duniani.
-
Ethiopia kuishiwa na chakula cha misaada
Jun 10, 2017 15:57Serikali ya Ethiopia na makundi ya misaada ya kibinadamu yametangaza kuwa, nchi hiyo itaishiwa na chakula cha misaada kwa ajili ya watu milioni 7.8 walioathiriwa na ukame mkubwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu.
-
FAO yachukua hatua kuzuia makali ya kiangazi Somalia
Jun 03, 2017 07:17Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetibu mifugo zaidi ya milioni 12 chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa shabaha ya kudhibiti makali ya ukame na baa la njaa nchini Somalia.
-
UN: Dola milioni 900 zinahitajika kunusuru maisha ya Wasomali milioni 6
May 11, 2017 14:59Umoja wa Mataifa umesema unahitajia dola milioni 900 za Marekani kufikia mwishoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kunusuru maisha ya raia milioni 6 wa Somalia wanaohitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
WFP yaomba misaada ya haraka ya kibinadamu kwa ajili ya Yemen
Apr 25, 2017 08:02Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa mara nyingine tena limetahadharisha kuwa ukame na njaa vinatishia maisha ya raia karibu milioni 17 wa Yemen.
-
Wakimbizi wa njaa kutoka Somalia wamiminika Kenya
Apr 11, 2017 06:40Ukame ulioathiri sehemu mbalimbali Somalia umesababisha Wasomali wasiopungua 2,000 kuvuka mpaka na kuingia katika kambi ya Dadaab nchini Kenya katika miezi ya hivi karibuni. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR.
-
US$ Milioni 255 zahitajika kuwasaidia watoto kukabiliana na njaa Afrika, Yemen
Mar 30, 2017 06:42Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema, watoto takriban milioni 1.4 nchini Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa.
-
Msalaba Mwekundu: Wakenya milioni 3 wanahitajia msaada wa chakula
Mar 28, 2017 16:36Shirika la Msalaba Mwekundu limesema Kenya inahitajia msaada wa dharura wa chakula ili kunusuru maisha ya watu milioni 3 wanaokabiliwa na hatari ya kufa njaa kutokana na kushtadi ukame nchini humo.