-
Obama: Waislamu ni wahanga wa ugaidi
Mar 30, 2016 22:05Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kwamba Waislamu ni wahanga wa ugaidi.
-
Fidel Castro: Cuba haihitajii misaada ya Marekani
Mar 28, 2016 23:07Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro amesema nchi yake inaweza kujitegemea na hivyo haijitajii misaada yoyote kutoka Marekani.
-
Safari ya Rais wa Marekani nchini Cuba
Mar 21, 2016 11:48Rais Barack Obama wa Marekani Jumapili ya jana aliwasili Havana mji mkuu wa Cuba katika safari ya kihistoria.
-
Rais wa Marekani awasili Cuba katika safari ya kihistoria
Mar 20, 2016 21:53Rais Barack Obama wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Cuba, Havana katika safari inayotajwa kuwa ya kihistoria.
-
White House yakosolewa kwa mwenendo wake mbaya dhidi ya Waislamu
Feb 08, 2016 03:28Wakosoaji na makundi mbalimbali ya Kiislamu nchini Marekani yamekosoa mwenendo wa Ikulu ya Rais wa Marekani White House na viongozi wa nchi hiyo wakisema unazidisha chuki na uhasama dhidi ya Waislamu nchini humo.