Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Oman

  • Sultan Haitham awasili Saudia katika safari ya kwanza ya kiongozi wa Oman baada ya kupita zaidi ya miaka 10

    Sultan Haitham awasili Saudia katika safari ya kwanza ya kiongozi wa Oman baada ya kupita zaidi ya miaka 10

    Jul 11, 2021 23:10

    Sultan Haitham bin Tarik wa Oman amefanya safari ya kwanza nje ya nchi kwa kuitembelea Saudi Arabia, ikiwa pia ni mara ya kwanza kufanywa na kiongozi mkuu wa Oman huko Riyadh baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Katu hatutafanya mapatano na Israel

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Katu hatutafanya mapatano na Israel

    Jul 10, 2021 06:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuunga mkono haki za kisheria za Palestina na katu haitafanya mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wimbi jipya la corona latua pia nchini Saudi Arabia, mamia ya watu waambukizwa

    Wimbi jipya la corona latua pia nchini Saudi Arabia, mamia ya watu waambukizwa

    Jun 30, 2021 01:48

    Wizara ya Afya ya Saudi Arabia jana ilitangaza kuwa, watu 1,567 wamethibitishwa kukumbwa na ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha siku moja nchini humo. Hilo lilikuwa ni tangazo rasmi kuwa Saudia imo kwenye wimbi jipya la maambukizi ya kirusi cha corona.

  • Sultan wa Oman naye ampongeza Bashar al Assad kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Syria

    Sultan wa Oman naye ampongeza Bashar al Assad kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Syria

    May 30, 2021 22:20

    Sultan wa Oman amemtumia ujumbe Rais Bashar al Assad wa Syria na kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo.

  • Oman: Hatuna haraka ya kupanua uhusiano wetu na Israel

    Oman: Hatuna haraka ya kupanua uhusiano wetu na Israel

    Feb 12, 2021 23:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, nchi yake haina haraka ya kupanua uhusiano wake na Israel na wala haikusudii kuchukua hatua ya kufanya hivyo kwa sasa.

  • Oman yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran

    Oman yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran

    Nov 30, 2020 01:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran baada ya kuuawa kigaidi, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran, shahidi Mohsen Fakhrizadeh.

  • Mufti wa Oman: Waislamu waondoe mitaji yao katika sekta za uchumi za Ufaransa

    Mufti wa Oman: Waislamu waondoe mitaji yao katika sekta za uchumi za Ufaransa

    Oct 27, 2020 03:55

    Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amewatolea mwito Waislamu wa kuondoa mitaji yao waliyowekeza kwenye vituo na sekta za uchumi za Ufaransa.

  • Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu walaani makubaliano kati ya Sudan na Israel

    Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu walaani makubaliano kati ya Sudan na Israel

    Oct 24, 2020 04:15

    Nchi za ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu pamoja na makundi ya muqawama yamelaani vikali hatua ya kufikiwa makubaliano kati ya Sudan na Israel ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yao. Wananchi wa Palestina wamekitaja kitendo hicho cha kisaliti kama 'dhambi ya kisiasa.'

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibi mwa Asia

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibi mwa Asia

    Feb 16, 2020 12:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa, Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibii mwa Asia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mfalme mpya wa Oman

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mfalme mpya wa Oman

    Jan 12, 2020 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea nchini Oman kuiwakilisha serikali ya Iran katika shughuli ya kumuenzi na kumkumbuka aliyekuwa mfalme wa nchi hiyo aliyefariki dunia Sultan Qaboos bin Said Al Said, amekutana na kufanya mazungumzo na mfalme mpya, Sultan Haitham bin Tariq Al Said.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS