-
Wakati anatumikia kifungo jela, Imran Khan ateuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel
Apr 02, 2025 10:31Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa "kazi aliyofanya kuhusiana na haki za binadamu na demokrasia nchini Pakistan". Hayo yameelezwa katika tamko lililotolewa na chama cha siasa cha Norway Partiet Sentrum.
-
Jamaatul-Islami yaitahadharisha serikali ya Pakistan isihadaiwe na hila za Trump
Mar 12, 2025 02:37Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami Pakistan (JIP) ameihutubu serikali ya Islamabad akisema: Marekani si yenye kuitakia kheri katu Pakistan na haipasi kuridhia matakwa ya nchi hiyo.
-
Wafuasi wa Imran Khan watunishiana misuli na Polisi ya Pakistan wakiandamana kuelekea Islamabad
Nov 26, 2024 07:06Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiliwa huru waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan anayetumikia kifungo jela wamekaidi vizuizi vya barabarani vilivyowekwa na Polisi na gesi ya kutoa machozi waliyomiminiwa na askari hao katika azma yao ya kuingia katika mji mkuu Islamabad.
-
Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa
Nov 05, 2024 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Mazuwari 28 raia wa Pakistan waaga dunia katika ajali ya basi Iran
Aug 21, 2024 11:53Raia 28 wa Pakistan wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa baada ya basi lililokuwa limewabeba kubingiria katika kaunti ya Taft, mkoani Yazd, katikati ya Iran. Mazuwari hao walikuwa wakielekea katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Takwa la Pakistan la kutofanya biashara ya mafuta na utawala wa Kizayuni
Aug 12, 2024 02:45Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amelaani kuuawa shahidi Ismail Haniye aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kuelezea wasiwasi wake mkubwa alionao kuhusiana na chokochoko zinazoongezeka za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Pakistan yamtangaza rasmi Netanyahu kuwa ni gaidi, yaitaka Jamii ya Kimataifa nayo pia ifanye hivyo
Jul 23, 2024 06:32Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni, ni "gaidi".
-
Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran
Jul 11, 2024 07:17Muhammad Shahbaz Sharf Waziri Mkuu wa Pakistan amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Masoud Pezeshkian Rais Mteule wa Iran kuwa Islamabad iko tayari kustawisha uhusiano na Tehran. Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa mapatano yaliyofikiwa na nchi mbili katika ziara ya mwezi Aprili ya Rais Shahidi Raisi wa Iran huko Pakistan ni nukta muhimu katika uhusiano wa pande mbili.
-
Mokhber: Nchi za Waislamu ziungane kuzima jinai za Israel Gaza
Jun 17, 2024 07:46Kaimu Rais wa Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa nchi za Waislamu ili kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Iran asisitiza kukuza ushirikiano wa pande mbili na Pakistan
Apr 23, 2024 03:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kukuza ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyanja mbalimbali.