-
Iran, Pakistan, Uturuki zalaani kuchomwa moto nakala ya Qurani Sweden
Jan 22, 2023 08:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'
Dec 16, 2022 11:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan abadilisha msimamo kuhusu Marekani
Nov 16, 2022 01:03Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ametoa matamshi yanayotafautiana na msimamo wake wa huko nyuma kuhusu Marekani kwa kusema: "endapo nitashinda uchaguzi, nitahakikisha tunakuwa na uhusiano na Washington utakaotupa izza na heshima".
-
WHO yatahadharisha juu ya madhara ya mafuriko nchini Pakistan
Nov 07, 2022 02:45Shirika la Afya Duniani WHO kwa mara nyingine tena limetahadharisha kuhusu tishio la kiafya katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko huko Pakistan.
-
Jaribio la mauaji dhidi ya Imran Khan na kuibuka mivutano katika miji mbalimbali ya Pakistan
Nov 06, 2022 10:16Maandamano ya upinzani yameshuhudiwa katika miji kadhaa ya Pakistan baada ya jaribio lililofeli la kutaka kumuua Imran Khan Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo.
-
Imran Khan: Waziri Mkuu wa Pakistan amehusika na njama ya kutaka kuniua
Nov 05, 2022 11:18Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan amemtuhumu mfuatizi wake kuwa amehusika katika njama ya kutaka kumuua.
-
Abdollahian asisitiza kupanua ushirikiano kati ya Iran na Pakistan
Oct 19, 2022 08:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Islamabd uko katika hali nzuri na kusisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano kati ya Iran na Pakistan katika nyanja zote khususan katika suala la usalama.
-
UN yapitisha azimio la kuisaidia Pakistan, yatoa indhari ya kukumbwa na janga la kiafya
Oct 08, 2022 07:04Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuonyesha mshikamano na kufanikisha usaidizi kwa serikali na watu wa Pakistan ikiwemo misaada ya kibinadamu, ukarabati na ujenzi mpya sambamba na kuepusha majanga zaidi iwapo taifa hilo litakumbwa na janga la mafuriko kama la sasa.
-
Pakistan yapinga tena wazo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Sep 26, 2022 03:35Serikali ya Pakistan kwa mara nyingine tena imepinga wazo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuatia uchochezi wa baadhi ya tawala za Kiarabu zenye fikra mgando za kuitaka ifuate mkondo huo.
-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu kuenezwa chuki dhidi ya Waislamu
Sep 26, 2022 03:05Waziri Mkuu wa Pakistan ametaka kukomeshwa mara moja chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, hasa nchini India.