-
Indhari ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa utawala wa Kizayuni
Jan 20, 2021 08:35Makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza yamesema kuwa umoja ni njia pekee ya kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni dhidi ya kadhia ya Palestina.
-
Fat'h na Hamas zaunga mkono kufanyika uchaguzi Palestina baada ya miaka 15
Jan 16, 2021 04:15Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina za Fat'h na Hamas zimeunga mkono tangazo la Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuhusu kufanyika uchaguzi wa bunge la rais baadaye mwaka huu.
-
B'Tselem: Israel ni utawala wa kibaguzi
Jan 12, 2021 04:51Kituo cha Haki za Binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) cha B'Tselem kimesema Israel ni utawala wa kibaguzi na wala si wa kidemokrasia.
-
Yemen: Uhasama wa Magharibi kwa Iran umetokana na Tehran kuwaunga mkono Wapalestina
Jan 08, 2021 23:11Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen amekosoa vikali njama za kutaka kuundwa eti muungano dhidi ya Iran ikiwa ni sehemu ya mradi wa pamoja wa Waarabu, Israel na Marekani na kusisitiza kuwa, jitihada za namna hiyo zikasudia kuzuia uungaji mkono usio na kifani wa Tehran na kwa kadhia ya Palestina na Wapalestina.
-
Israel iliharibu nyumba 729 za Wapalestina mwaka 2020
Jan 07, 2021 05:20Utawala haramu wa Israel uliharibu nyumba 729 za raia wa Palestina katika mwaka uliopita wa 2020 kwa kutumia kisingizio cha kujengwa bila ya vibali.
-
Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina
Jan 06, 2021 23:06Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze wajibu wake wa kimataifa na kuhakikisha kuwa chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 zinawafikia wananchi wa Palestina.
-
Mateka 15 Wapalestina walioko kwenye gereza la Israel la An-Naqb wameambukizwa corona
Jan 02, 2021 23:23Ofisi ya habari inayoshughulikia masuala ya mateka Wapalestina imetangaza kuwa mateka 15 Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya Kizayuni ya An-Naqb wameambukizwa virusi vya corona.
-
Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel
Jan 01, 2021 09:53Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu amemtaka rais mteule wa Marekani Joe Biden kuacha kukingia kifua silaha za nyuklia za Israel na kusitisha ufadhili mkubwa wa Washington kwa miradi ya silaha za nyuklia ya utawala huo.
-
Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020
Jan 01, 2021 09:51Kamati ya Masuala ya Matekani wa Palestina imetangaza kuwa, watoto 170 wa Kipalestina walifungwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka 2020.
-
Malengo ya manuva ya pamoja ya makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza
Dec 30, 2020 21:01Manuva ya pamoja ya makundi 12 ya muqawama chini ya anuani ya " Ar-Ruknu-Shadiid" yaani "Nguzo Imara yalianza juzi Jumanne katika Ukanda wa Ghaza. Hii ni mara ya kwanza ambapo makundi mbalimbali ya muqawama ya Palestina yanafanya manuva ya pamoja katika Ukanda wa Ghaza.