-
Makundi ya Palestina yaonya kuhusu uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel
Jul 26, 2020 21:00Makundi ya mapambano huko Palestina yameonya hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wazayuni wamebomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka 2019
Jul 24, 2020 03:27Utawala haramu na dhalimu wa Kizayuni wa Israel ulibomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka uliopita wa 2019.
-
Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel
Jul 23, 2020 08:31Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza ushirikiano wake na Chama cha Fat'h kwa ajili ya kuanza mapambano yenye malengo dhidi ya utawala vamizi wa Israel.
-
Rais wa China: Kadhia ya Palestina ndiyo kuu zaidi Asia Magharibi
Jul 21, 2020 22:01Rais Xi jingping wa China amesema kadhia ya Palestina ndilo swala kuu zaidi hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi.
-
Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina
Jul 21, 2020 06:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unabomoa nyumba za wananchi wa Palestinana hivyo inatekeleza kivitendo mpango wake wa kuikalia kwa mabavu sehemu kubwa ya ardhi ya Ukingo wa Mgharibi wa Mto Jordan.
-
Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za "Google" na "Apple"
Jul 19, 2020 06:18Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekosoa vikali kitendo cha mashirika ya intaneti ya Google na Apple ya Marekani ya kuondoa neno "Palestina" katika ramani zao za dunia.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni
Jul 19, 2020 02:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, vikosi vya muqawama wa Kiislamu Palestina vimejiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni maghasibu.
-
UN: Kuzingirwa Ukanda wa Ghaza ni kuwaadhibu kwa umati Wapalestina
Jul 18, 2020 03:29Ripota na mtaalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuuzingira Ukanda wa Ghaza kunakofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwaadhibu kwa umati wananchi wa Palestina.
-
Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia
Jul 17, 2020 03:38Shirika la intaneti la Google limejiwa juu na watumiaji wa mitandao mbali mbali ya kijamii baada ya kuiondoa "Palestina" katika ramani zake za dunia, na badala yake kupachika jina la "Israel."
-
Vyama mbalimbali Yemen vyapinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni
Jul 16, 2020 22:12Washiriki katika kikao kilichofanyika Sana'a mji mkuu wa Yemen wakiwakilisha vyama mbalimbali vya siasa na wawakilishi wa Palestina wamesisitiza udharura wa kusimama imara na bega kwa bega na wananchi wa Palestina na kupinga aina zote za kuanzishwa uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.