Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina

    Feb 01, 2020 09:40

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.

  • Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Jan 31, 2020 11:38

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuwajeruhi Wapalestina kadhaa waliokuwa wamefika hapo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.

  • Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda

    Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda

    Jan 30, 2020 10:09

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.

  • Muamala wa Karne; usaliti wa wazi dhidi ya Palestina kutokana na makosa ya kistratijia ya baadhi ya Waarabu

    Muamala wa Karne; usaliti wa wazi dhidi ya Palestina kutokana na makosa ya kistratijia ya baadhi ya Waarabu

    Jan 29, 2020 08:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kile kinachotajwa kuwa 'Muamala wa Karne' kwa hakika ni 'Hiana na Usaliti' dhidi ya taifa la Palestina.

  • Palestina yaomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Palestina yaomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Jan 28, 2020 21:58

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) imeomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu baada ya kuzinduliwa kile ambacho Marekani imekitaja kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.

  • Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu

    Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu

    Jan 28, 2020 08:28

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.

  • Rais wa Palestina azitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia

    Rais wa Palestina azitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia "Muamala wa Karne" wa Trump

    Jan 28, 2020 02:58

    Rais wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amezitaka nchi za Kiislamu na Kiarabu kususia uzinduzi wa mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na mgogoro wa Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".

  • Jihadul Islami:

    Jihadul Islami: "Muamala wa Karne" hautakwamisha mapambano ya kupigania uhuru ya Wapalestina

    Jan 26, 2020 04:06

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuwa maamuzi yasiyo sahihi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mpango wa "Muamala wa Karne" hayana thamani yoyote. Amesema kuwa mpango huo hautakwamisha mapambano ya wananchi wa Palestina.

  • Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe

    Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe

    Jan 25, 2020 23:22

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mpango uliojaa njama wa Marekani-Israel wa Muamala wa Karne utekelezwe na kufikia malengo yake machafu.

  • Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Jan 24, 2020 13:30

    Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kuwajeruhji Wapalestina wengi katika viwanja vya msikiti huo wakiwazuia kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS