-
Netanyahu apongeza juhudi za Imarati za kuimarisha uhusiano na Israel
Dec 22, 2019 10:33Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amepongeza jitihada zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu za kutaka kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano wa utawala huo pandikizi na baadhi ya nchi za Kiarabu.
-
Palestina yakaribisha uamuzi wa ICC wa kuchunguza jinai zilizofanywa na Israel Gaza na Ufukwe wa Magharibi
Dec 21, 2019 04:30Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu
Dec 20, 2019 08:12Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Palestina yataka walowezi wa Kizayuni watambuliwe rasmi kuwa ni magaidi
Dec 17, 2019 04:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito wa kuwekwa jina la walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina katika orodha ya magaidi.
-
Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS al-Khalil
Dec 12, 2019 21:13Vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel vimeendeleza chokochoko zake kwa kuwatia mbaroni viongozi kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini al-Khalil (Hebron), katika Ukiongo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Luxembourg yaiandikia barua EU kuhusu kutambuliwa rasmi taifa la Palestina
Dec 09, 2019 23:50Luxembourg imeuandikia barua Umoja wa Ulaya, ikiutaka umoja huo uitambue rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi
Dec 08, 2019 23:11Serikali ya rais Donald Trump imekuwa ikitekeleza hatua zisizo za kawaida katika uwanja wa kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume cha sheria vya utawala haramu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.
-
Maelfu ya Wapalestina wafurika kwenye haram ya Nabii Ibrahim kuzuia njama za Uyahudishaji
Dec 06, 2019 12:09Maelfu ya Wapalestina walifurika katika haram ya Nabii Ibrahim eneo la Al-Khalil (Hebron) kutokana na mwito uliotolewa hapo kabla, ambapo walisali sala ya Alfajiri mahali hapo ili kuzuia njama za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.
-
Misri yatoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina
Dec 05, 2019 06:56Mwakilishi wa kudumu wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina na kusema kuwa, amani na utulivu haviwezi kupatikana bila ya kuchukuliwa hatua hiyo.
-
Hamas: Madai ya usitishaji vita wa muda mrefu ni propaganda za uchaguzi za utawala wa Kizayuni
Dec 05, 2019 04:38Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja tetesi iliyoenea katika vyombo vya habari vya Kizayuni kuhusu jitihada za utawala huo za kufikia makubaliano ya usitishaji vita ya muda mrefu na Ukanda wa Ghaza kuwa ni propaganda za uchaguzi.