-
UN: Ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel unaisababishia Palestina hasara ya dola bilioni 2.5 kwa mwaka
Dec 03, 2019 04:17Umoja wa Mataifa umesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina inausababishia uchumi wa Wapalestina hasara ya dola bilioni 2.5 kila mwaka.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC akataa tena kuchunguza shambulizi la makomandoo wa Israel
Dec 03, 2019 04:12Kwa mara nyingine tena, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amekataa kufungua faili la kuchunguza shambulizi lililofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya meli ya Marmar ya Uturuki iliyokuwa imebeba shehena ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza mwaka 2010.
-
Jamii ya kimataifa yakosolewa kwa kunyamazia kimya jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Dec 02, 2019 08:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imekikosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa hilo ni doa baya katika paji la uso la walimwengu.
-
29 Novemba Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina
Nov 30, 2019 09:08Jana tarehe 29 Novemba iliadhimishwa kote duniani kama Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina
-
Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu"
Nov 26, 2019 22:13Wapalestina mapema leo wamepigana na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu" kupinga siasa za Marekani za kukingia kifua na kuhalalisha wizi wa ardhi za Palestina.
-
Mpalestina mwenye saratani afia jela Israel kwa kunyimwa matibabu
Nov 26, 2019 22:11Raia wa Palestina aliyekuwa anaugua ugonjwa wa saratani amepoteza maisha mikononi mwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kunyimwa matibabu na dawa.
-
Arab League yapinga rasmi msimamo wa Marekani dhidi ya Palestina kuhusu ujenzi wa vitongoji
Nov 26, 2019 04:35Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wametoa taarifa maalumu ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani
Nov 22, 2019 23:08Rais Donald Trump wa Marekani amechukua msimamo wa kuunga mkono kwa hali na mali na bila ya masharti yoyote utawala haramu wa Israel na licha ya maazimio kadhaa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayopiga marufuku kuunganishwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo tokea mwaka 1967, ikiwemo miinuka ya Golan ya Syria, lakini bado serikali ya Washington inauchukulia ukaliaji mabavu huo wa utawala wa Kizayuni kuwa ni jambo halali na linaloruhusiwa.
-
Mousavi: Hatua za Marekani kuhusiana na Palestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Nov 21, 2019 23:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hatua na matamashi ya viongozi wa Marekani kuhusiana na Palestina ni ukiukaji wa wazi kabisa wa sheria za kimataifa.
-
Luxembourg: Umoja wa Ulaya unapasa kulitambua rasmi taifa la Palestina
Nov 21, 2019 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Luxembourg amesisitiza kwamba Umoja wa Ulaya ni lazima uitambue rasmi nchi huru ya Palestina.