Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Israel imewatia mbaroni mamia ya watoto wa Kipalestina

    Israel imewatia mbaroni mamia ya watoto wa Kipalestina

    Nov 20, 2019 04:22

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni watoto 745 wa Kipalestina wenye chini ya umri wa miaka 18, tangu mwazoni mwa huu hadi sasa.

  • Hatua mpya ya serikali ya Trump ya kuunga mkono hatua haramu za utawala wa Kizayuni

    Hatua mpya ya serikali ya Trump ya kuunga mkono hatua haramu za utawala wa Kizayuni

    Nov 20, 2019 03:35

    Moja ya misingi ya wazi kabisa ya sera za kigeni za Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ni kuuunga mkono bila masharti utawala haramu wa Israel na kutekeleza kivitendo hatua ambazo marais waliotangulia wa nchi hiyo walijizuia kuzitekeleza.

  • Palestina yalalamikia uamuzi wa Marekani wa kuunga mkono ujenzi haramu wa vitongoji unaofanywa na Israel

    Palestina yalalamikia uamuzi wa Marekani wa kuunga mkono ujenzi haramu wa vitongoji unaofanywa na Israel

    Nov 19, 2019 09:49

    Palestina imelalamikia uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi haramu wa vitongoji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan kwa kuuandikia barua tatu Umoja wa Mataifa.

  • EU yatofautiana na US kuhusu uporaji wa ardhi za Wapalestina

    EU yatofautiana na US kuhusu uporaji wa ardhi za Wapalestina

    Nov 19, 2019 04:36

    Umoja wa Ulaya umeshikilia msimamo wake kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni haramu na kinyume cha sheria za kimataifa.

  • Zarif azungumza na Haniya, asema Iran imesimama pamoja na taifa la Palestina

    Zarif azungumza na Haniya, asema Iran imesimama pamoja na taifa la Palestina

    Nov 19, 2019 01:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo na Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, na kumpongeza kufuatia ushindi wa wanamuqawama (wanamapambano) wa Palestina mbele ya utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko pamoja na taifa la Palestina na inasimama pamoja na wanamapambano shujaa katika Ukanda wa Ghaza."

  • Wanafunzi sita wa Palestina wauawa shahidi katika hujuma za utawala wa Kizayuni

    Wanafunzi sita wa Palestina wauawa shahidi katika hujuma za utawala wa Kizayuni

    Nov 15, 2019 10:21

    Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi sita Wapalestina wameuawa shahidi kufuatia hujuma za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Maana ya

    Maana ya "kufutwa Israel" katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Nov 15, 2019 09:41

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sababu ya masaibu ya sasa ya Ulimwengu wa Kiislamu hususan hali ya kusikitisha ya Palestina ni udhaifu wa Umoja wa Waislamu.

  • Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Nov 14, 2019 21:53

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.

  • Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Nov 14, 2019 07:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.

  • Guterres aitaka Israel ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu huko Palestina

    Guterres aitaka Israel ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu huko Palestina

    Nov 14, 2019 06:38

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya raia wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS