• Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)

    Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)

    Sep 21, 2024 09:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.

  • Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Sep 20, 2024 03:22

    Mbunge Muislamu wa Marekani mwenye asili ya Palestina Rashida Tlaib amewasilisha mbele wa Bunge la Marekani kwa ajili ya kuwekwa kwenye kumbukumbu majina ya watoto wa Kipalestina waliouliwa na jeshi dhalimu la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake

    Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake

    Sep 18, 2024 02:33

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amejibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini humo, yaliyotaka ufanyike uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu akisema, Tanzania ni nchi huru, hivyo haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake.

  • Qalibaf asisitizia umoja wa Waislamu katika kadhia ya Palestina

    Qalibaf asisitizia umoja wa Waislamu katika kadhia ya Palestina

    Sep 15, 2024 04:02

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.

  • Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Sep 12, 2024 23:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Mashirika ya haki za binadamu yataka UN 'iwalinde' mateka wa Kipalestina

    Mashirika ya haki za binadamu yataka UN 'iwalinde' mateka wa Kipalestina

    Sep 12, 2024 23:02

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka "kuwalinda watu walionyimwa uhuru wao" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wazayuni waendelea kuangamizwa katika operesheni za kulipiza kisasi

    Wazayuni waendelea kuangamizwa katika operesheni za kulipiza kisasi

    Sep 08, 2024 08:02

    Kwa akali walowezi watatu wa Kizayuni wenye umri wa makamo wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na kivuko daraja la Karama (Allenby) kwenye mpaka kati ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Jordan, huku mashambulizi ya anga ya Wazayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa yakiendelea.

  • Kan'ani: Wahalifu wa Tel Aviv ni wafyonza damu

    Kan'ani: Wahalifu wa Tel Aviv ni wafyonza damu

    Sep 04, 2024 03:53

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mauaji ya muigizaji maarufu wa Kipalestina yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa, damu ya Rashad abu Skheileh na zaidi ya Wapalestina wengine 40,000 wa Ukanda wa Gaza ni ithibati ya roho chafu na ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Pezeshkian: Iran itaendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Pezeshkian: Iran itaendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Sep 03, 2024 23:34

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuwa, serikali yake iko tayari kutoa uungaji mkono usiotetereka kwa ajili ya mapambano ya mataifa yote yanayodhulumiwa duniani kote, hususan Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel

    Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel

    Sep 01, 2024 03:14

    Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko ameziasa nchi za Kiislamu kuususia utawala wa Israel na kuzidisha mashinikizo ya kulitenga dola hilo la Kizayuni.