-
Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil
Sep 01, 2024 03:10Kwa uchache askari polisi wawili wa Israel na mlowezi mmoja wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na mji wa al-Khalil, katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi.
-
Watengenezaji filamu wa Palestina walalamikia msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood
Aug 29, 2024 23:11Watengenezaji filamu wa Kipalestina wamesaini barua ya wazi wakipinga na kulalamika msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood.
-
Wanachuo wanaoitetea Palestina 'wakaribisha' kujiuzulu Rais wa Chuo Kikuu cha Columbia
Aug 15, 2024 04:25Rais wa Chuo Kikuu cha Columbia Minouche Shafik alitangaza kujiuzulu jana Jumatano, takriban miezi minne baada ya chuo hicho kushuhudia maandamano ya wananchuo waliokuwa wakilalamikia vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Israel huko Gaza.
-
Hali ya kutisha ya zama za mwisho huko Gaza
Aug 15, 2024 01:05Huku nchi za Magharibi zikiunga mkono jinai zinazoongezeka kila siku za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina hasa katika kuwalazimisha watu wa Gaza kuyahama makazi yao, weledi wa mambo wanasema wigo wa jinai hizo unaweza kuzikumba nchi hizo pia baada ya muda usio mrefu.
-
HAMAS: Hatutashiriki mazungumzo ya usitishaji vita Doha
Aug 14, 2024 23:15Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wawakilishi wa harakati hiyo ya muqawama hawatashiriki mazungumzo ya leo ya usitishaji vita yanayotazamiwa kufanyika Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
Japan yasema itaitambua Palestina kwa 'njia kamilifu'
Aug 14, 2024 23:15Serikali ya Japan imesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, inatathmini suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
HAMAS: OIC na Arab League zifanye mkutano haraka ili kusimamisha mauaji ya kimbari ya Ghaza
Aug 12, 2024 07:48Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) zifanye mkutano wa dharura wa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Taasisi za kimataifa ni washirika katika jinai za utawala wa Kizayuni
Aug 11, 2024 07:57Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taasisi za kimataifa zinashiriki katika jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Ripota wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza kwa silaha za US, Ulaya
Aug 11, 2024 04:05Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuendelea kufanya mauaji na jinai nyingine za kutisha dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
CAIR yamtaka Biden 'alaani' ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 04:04Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.