Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Rais Maduro: Venezuela daima itakuwa pamoja na wananchi wa Palestina

    Rais Maduro: Venezuela daima itakuwa pamoja na wananchi wa Palestina

    Aug 04, 2024 08:45

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amelaani mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Amerika ya latini daima itakuwa pamoja na Palestina.

  • Umoja wa Wapalestina katika Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na mateka wa Kipalestina

    Umoja wa Wapalestina katika Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na mateka wa Kipalestina

    Aug 04, 2024 07:22

    Miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imeshuhudia maandamano ya kupinga vita vya Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na mauaji ya kimbari dhidi yao katika siku ya kitaifa na kimataifa ya kuisaidia na kuiunga mkono Ghaza na mateka Wapalestina.

  • Jumuiya ya Wayahudi wa Iran yataka kulipiza kisasi baada ya Israel kumuua Haniyeh

    Jumuiya ya Wayahudi wa Iran yataka kulipiza kisasi baada ya Israel kumuua Haniyeh

    Aug 03, 2024 22:53

    Jumuiya ya Wayahudi wa Iran imelaani vikali mauaji yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh akiwa ugenini mjini Tehran, ikitoa wito wa kulipiza kisasi dhidi ya mauaji hayo.

  • Baada ya UN, Iran yaitaarifu EU: Tutalitia adabu genge la wahalifu la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Baada ya UN, Iran yaitaarifu EU: Tutalitia adabu genge la wahalifu la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 03, 2024 03:27

    Iran itatumia haki yake ya asili na halali ya kuliadhibu "genge la wahalifu la Kizayuni" kwa shambulio lake la kigaidi la siku ya Jumatano iliyopita, ambalo lilipelekea kuuawa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh mjini Tehran.

  • UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio

    UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio

    Jul 30, 2024 23:10

    Katika jitihada za kuzuia janga la ugonjwa wa polio huko Gaza, mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana Jumanne yalikariri wito wa kufanyika jitihada za kimataifa za kuutaka utawala wa Israel usitishe vita ili kuruhusu kampeni kubwa ya utoaji chanjo kuanza.

  • Rais mpya wa Iran: Sera za Iran katika kuitetea Palestina haziwezi kubadilika

    Rais mpya wa Iran: Sera za Iran katika kuitetea Palestina haziwezi kubadilika

    Jul 30, 2024 04:07

    Rais mpya wa Iran amesema alipoonana na kuzunguzma na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina kuwa misimamo na sera za mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuwaunga mkono waliodhulumiwa wakiwemo wananchi wa Palestina haziwezi kubadilika.

  • Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu

    Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu

    Jul 29, 2024 22:59

    "Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Ripoti ya mashirika ya UN: Ghaza ina hali mbaya zaidi ya uhaba wa chakula duniani

    Ripoti ya mashirika ya UN: Ghaza ina hali mbaya zaidi ya uhaba wa chakula duniani

    Jul 27, 2024 08:05

    Ripoti mpya ya pamoja iliyotolewa na mashirika matano ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa Ukanda Ghaza uliowekewa mzingiro na kuzuiliwa na jeshi la Kizayuni kuingiziwa misaada ya chakula, ndilo eneo linalokabiliwa na hali mbaya zaidi ya ukosefu wa chakula duniani.

  • HAMAS: Kauli ya Marekani ni uongo mtupu, Wapalestina Ghaza wanauawa kwa silaha zake

    HAMAS: Kauli ya Marekani ni uongo mtupu, Wapalestina Ghaza wanauawa kwa silaha zake

    Jul 26, 2024 09:29

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Madai ya Washington kwamba inatiwa wasiwasi na hali ya kibinadamu na inasikitishwa na machungu na mateso wanayopata watu wa Ghaza ni uongo wa Kimarekani".

  • Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina

    Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina

    Jul 25, 2024 03:41

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International imeonya Marekani kuhusu kuupa silaha utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza na kutangaza kuwa, Washington ni mshirika wa utawala huo katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS