-
A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni
Feb 28, 2024 08:12Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Morocco: Gaza inashuhudia janga la kuogofya la kibinadamu
Feb 28, 2024 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na 'janga la kibinadamu' wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Maduro akosoa jinai za kikoloni za Israel dhidi ya Palestina
Feb 28, 2024 03:16Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema jinai na mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni ishara ya wazi kuwa utawala wa Kizayuni unaendeleza malengo ya kikoloni dhidi ya Palestina.
-
HAMAS: Historia katu haitasahau hatua za fedheha za Biden
Feb 27, 2024 03:57Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema historia kamwe haiwezi kufuta hatua ya kufedhehesha ya utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani ya kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mauaji yake ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ajiuzulu
Feb 26, 2024 07:53Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mohammad Ashtiyah, amejiuzulu wadhifa wake huo.
-
Iran: Mataifa ya Kiislamu yachukue hatua za kuwanga mkono watu wa Gaza
Feb 25, 2024 07:43Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema mataifa yote ya Kiislamu yana wajibu wa kuwaunga mkono Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kuwapa usaidizi wa kivitendo ili kuwafanya waondokane na hali mbaya ya kibinadamu inayowakabili.
-
Askari wasiopungua sita za Kizayuni waangamizwa na Wanamuqawama wa Palestina Khan Yunis
Feb 24, 2024 23:09Brigedi za Mujahidina wa Palestina zimetangaza kuwa zimewaangamiza wanajeshi kadhaa wa Kizayuni katika operesheni ya karibuni zaidi iliyotekelezwa na Muqawama wa Palestina magharibi mwa Khan Yunis.
-
Iran: Kusimamisha vita na kuandaliwa kura ya maoni ndio suluhisho la kadhia ya Palestina
Feb 23, 2024 04:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa kusitishwa vita katika ukanda wa Gaza na kuandaliwa kura ya maoni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ndio njia pekee ya kupatikana amani katika eneo hilo.
-
Kuwaunga mkono wananchi na muqawama wa Ghazza ndilo jukumu kubwa la kiQur'ani leo hii
Feb 22, 2024 08:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesisitiza kuwa, kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi na muqawama wa Ukanda wa Ghazza ndilo jukumu kubwa zaidi la kiQur'ani hivi sasa.
-
Lavrov na Shoukry wajadili hali ya Palestina pambizoni mwa mkutano wa G-20
Feb 22, 2024 03:40Sergey Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwenzake wa Misri, Sameh Shoukry jana walibadilishana mawazo na kujadili hali ya mambo katika eneo la Mashariki ya Kati hususan hali ya Ukanda wa Gaza. Haya ni kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia.