-
Ulimwengu wa Kiislamu watakiwa ujiweke tayari kupambana vikali kwa ajili ya Palestina
Mar 06, 2024 00:06Spika wa Bunge la Uturuki Numan Kurtulmus ametoa wito kwa Ulimwengu wa Kiislamu kusimama na Palestina katika mapambano yake dhidi ya kukaliwa ardhi zake kwa mabavu na mauaji ya kimbari.
-
Iran: OIC inakabiliwa na 'mtihani mgumu' kuhusu uhalifu wa Israel, himaya ya Marekani kwa utawala huo
Mar 05, 2024 04:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza umuhimu wa mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaotarajiwa kufanyika leo, akisema jumuiya hiyo yenye wanachama 57 "inakabiliwa na mtihani" juu ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA yaonya: Watoto wa Gaza wanakufa polepole mbele ya macho ya walimwengu
Mar 05, 2024 03:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
-
Wosia wa Bushnell: Majivu ya mabaki yangu yamiminwe Palestina
Mar 02, 2024 08:19Aaron Bushnell, afisa wa Jeshi la Anga la Marekani, ambaye alifariki dunia hivi karibuni baada ya kujichoma moto akipinga uungaji mkono wa nchi yake kwa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, aliandika katika wosia wake kuwa majivu ya mabaki ya mwili wake yamiminwe katika ardhi ya taifa huru la Palestina.
-
Israel yapuuza malalamiko ya dunia, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina
Mar 02, 2024 08:19Kwa akali Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga nyumba tatu za Wapalestina katika maeneo ya Deir el-Balah na Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Baada ya mazungumzo ya Moscow, mirengo ya Palestina yaapa kuungana pamoja dhidi ya Israel
Mar 01, 2024 23:37Makundi ya Palestina ikiwemo Hamas na Fat-h yamesema yatafuata "umoja wa kivitendo" katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya wawakilishi wao kukutana katika mazungumzo yaliyoandaliwa na Russia mjini Moscow.
-
Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza
Mar 01, 2024 03:37Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya Gaza na kusema, Wazayuni hawajawahi kukabiliwa na vita kama hivyo kwa muda wa miaka 75 iliyopita.
-
Israel yaua Wapalestina zaidi ya 100 waliokuwa wakisubiri misaada Gaza
Feb 29, 2024 23:29Wizara ya Afya ya Palestina jana ilitangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi watu wasiopungua 104 waliokuwa katika umati uliokuwa ukisubiri kupatiwa misaada ya kibinadamu huko kusini mwa Gaza.
-
Haniyeh awataka Wapalestina kuandamana kwenye Msikiti wa Al-Aqsa siku ya 1 ya Ramadhani
Feb 29, 2024 08:37Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewataka Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel kuandamana hadi Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni
Feb 28, 2024 08:12Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.