-
Ukumbi wa Tamthilia wa Uhuru wa Ukingo wa Magharibi ulioharibiwa na Israel wateuliwa kwa Tuzo ya Amani ya Nobel
Feb 15, 2024 04:20Ukumbi wa tamthilia wa Uhuru ulioharibiwa kwa risasi za jeshi za Israel huko Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu umeteuliwa kwa ajili ya Tuzo ya Amani ya Nobel huku Wapalestina wakitumai kuwa, kituo hicho cha masuala ya kitamaduni kitaendelea kuzalisha wapigania uhuru kupitia sanaa kutoka ndani ya kambi ya wakimbizi ya Jenin.
-
Hizbullah yaapa kujibu mashambulizi ya Israel yaliyoua raia wakiwemo watoto wawili
Feb 15, 2024 04:19Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani mashambulizi ya hivi karibuni zaidi ya Israel kusini mwa Lebanon yaliyosababisha vifo vya watu kadhaa wakiwemo watoto wawili, ikiapa kwamba majibu ya harakati ya Muqawama ya Lebanon yako njiani.
-
Abdollahian aonana na Haniya, asema Wapalestina hawataburuzwa na maajinabi
Feb 14, 2024 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kuburuzwa na nchi za kigeni na kusisitiza kuwa, hatima ya taifa la Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.
-
Netanyahu apinga pendekezo la kufikia makubaliano na HAMAS
Feb 14, 2024 04:04Waziri Mkuu wa Israel amepuuzilia mbali pendekezo la mashirika ya kijasusi ya Mossad na Shin Bet ya utawala huo wa Kizayuni juu ya kufikia mapatano ya kubadilishana wafungwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).
-
Ripota Maalumu wa UN aikosoa Israel kwa kumzuia kuingia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina
Feb 13, 2024 09:07Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ameishambulia vikali Israel kwa kumzuia kuingia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Taasisi ya utafiti Ujerumani yamfuta kazi profesa kwa kuitetea Palestina
Feb 12, 2024 01:08Taasisi moja mashuhuri ya utafiti nchini Ujerumani imempiga kalamu nyekundu profesa wa anthropolojia anayeiunga mkono Palestina, baada ya msomi huyo kukosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu
Feb 11, 2024 08:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu.
-
Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel
Feb 09, 2024 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya vikali Marekani dhidi ya kuendelea kuiunga mkono Israel na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Mkutano wa mawaziri wa Kiarabu Riyadh wataka kuhitimishwa vita vya Gaza
Feb 09, 2024 09:04Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa matano ya Kiarabu walmekutana Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kuutoa mwito wa kusitishwa vita huko Gaza.
-
Nicaragua yazishtaki ICJ Ujerumani, UK, Uholanzi na Canada kwa kuisaidia Israel katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina
Feb 07, 2024 00:19Serikali ya Nicaragua imezishitaki Ujerumani, Uingereza, Uholanzi na Canada katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina.