-
Muigizaji wa Kihispania: Simulizi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya watu wa Gaza inabadilika
May 19, 2026 04:03Muigizaji maarufu wa Kihispania amesema kando ya Tamasha la Filamu la Cannes kwamba: Licha ya kampeni yake ya hadharani dhidi ya vita vya Israel na mauaji ya kimbari ya utawala huo huko Gaza, Palestina, anafanya kazi zaidi kuliko hapo awali, na hii ina maana ya kubadilika simulizi kuhusu vita vya Gaza.
-
UN yatoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu unyanyasaji dhidi ya wafungwa katika magereza ya Israel
May 17, 2026 08:42Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imelaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya wafungwa wa Kipalestina, ikitaka kufanyike uchunguzi huru, usioegemea upande wowote na wa wazi kuhusu visa vyote vya vifo, mateso, unyanyasaji na ukiukaji mwingine, na kwa wale waliohusika kuwajibishwa.
-
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Kuhusu "Siku ya Nakbat"; Uhalifu wa Israel ni jinai ya kivita
May 16, 2026 12:15Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza katika taarifa iliyotolewa kwa mnasaba wa tukio la "Siku ya Nakbat" kwamba uhalifu unaofanywa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kielelezo halisi cha jinai za kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya kimbari, na kwa msingi huu, mahakama za kimataifa zinataka kuwaadhibu wahalifu wa Kizayuni.
-
Yamal apongezwa kwa kupeperusha bendera ya Palestina katika sherehe ya ubingwa wa Barça
May 13, 2026 08:12Nyota wa timu ya soka ya Barçelona, Lamine Yamal, alimeonyesha kitendo cha kupigiwa mfano kwa kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa sherehe ya ubingwa wa timu hiyo kama ishara ya kuwaunga mkono watu wanaokandamizwa wa Palestina.
-
Hamas yalaani mateso na unyanyasaji wa wanawake wa Kipalestina katika magereza ya Israel
May 10, 2026 07:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani ongezeko la uhalifu na ukiukwaji wa haki za wafungwa wanawake wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel, ikisema kwamba mateso ya kimwili na kisaikolojia ni uhalifu wa kivita.
-
Majibu ya Khalil al-Hayyah kwa mauaji ya mwanawe: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano
May 09, 2026 08:06Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya harakati ya Hamas huko Gaza, amethibitisha kuuawa shahidi mwanawe, Azzam na rafiki yake, akisisitiza kuwa: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano kwenye meza ya mazungumzo kwa kulenga na kuua familia zetu.
-
Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Kizayuni ni ukiukaji wa wazi wa usitishaji vita
May 07, 2026 11:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mashambulizi yanayoongezeka ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza, ikiyataja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa makubaliano ya usitishaji vita na sheria za kimataifa.
-
Palestina yajibu hatua ya Rais wa FIFA, yasema wanasoka 566 wa wameuawa na Israel
May 05, 2026 11:37Shirikisho la Soka la Palestina limechapisha ripoti kuhusu mauaji ya wachezaji wa mpira wa miguu na uharibifu wa miundombinu ya soka uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripoti: Ukatili uliopangwa wa walowezi wa Israel dhidi ya Wakristo umefikia kiwango cha juu
May 03, 2026 10:19Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’
May 03, 2026 10:23Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli za Msafara wa Global Sumud zilizokuwa zikipeleka misaada ya kibinadamu Gaza.