Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mkutano wa amani wa kutatua mzozo wa Hamas na utawala wa Kizayuni wa Israel unafanyika Cairo

    Mkutano wa amani wa kutatua mzozo wa Hamas na utawala wa Kizayuni wa Israel unafanyika Cairo

    Oct 21, 2023 10:54

    Mkutano wa kimataifa wa amani umeanza leo asubuhi mjini Cairo, Misri, ambapo viongozi wa kiserikali kutoka mataifa mbalimbali pamoja na taasisi za kimataifa walianza kujadili maendeleo na mustakabali wa mzozo wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Oct 19, 2023 23:28

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema mauaji makubwa ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yameonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel una udhaifu mkubwa.

  • Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Oct 19, 2023 23:28

    Jumuiya ya Mashirika ya Habari ya Asia-Pasifiki (OANA) imesisitizia haja ya kudhaminiwa usalama na ulinzi waandishi wa habari walioko katika Ukanda wa Gaza.

  • Raisi: Veto ya US katika Baraza la Usalama ni 'dhulma maradufu' kwa Wapalestina

    Raisi: Veto ya US katika Baraza la Usalama ni 'dhulma maradufu' kwa Wapalestina

    Oct 19, 2023 11:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusimamishwa mashambulizi na jinai za Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza ni dhulma maradufu dhidi ya Wapalestina na ubinadamu.

  • Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza

    Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza

    Oct 19, 2023 02:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Tunisia mjini Jeddah, Saudi Arabia na pande mbili zimejadiliana njia za kuwasaidia wananchi wa Ghaza na kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni.

  • Shirika: Israel inaua watoto 100 wa Kipalestina kila siku

    Shirika: Israel inaua watoto 100 wa Kipalestina kila siku

    Oct 18, 2023 08:55

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake mjini Geneva Uswisi limesema kwa wastani utawala haramu wa Israel unaua shahidi watoto 100 wa Kipalestina katika kila saa 24 katika Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Tutawaachia Waisraeli mkabala wa kuachiwa huru wafungwa 6,000 wa Kipalestina

    HAMAS: Tutawaachia Waisraeli mkabala wa kuachiwa huru wafungwa 6,000 wa Kipalestina

    Oct 18, 2023 00:21

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema iko tayari kuwaachia huru mateka wa Kizayuni iliowakamata katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, mkabala wa utawala haramu wa Israel kuwaachia huru maelfu ya wafungwa wa Kipalestina.

  • Hujuma mpya za Israel zaua shahidi Wapalestina 70 Rafah, Khan Younis

    Hujuma mpya za Israel zaua shahidi Wapalestina 70 Rafah, Khan Younis

    Oct 17, 2023 10:24

    Wapalestina wasiopungua 70 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika miji ya Rafah na Khan Younis, kusini mwa eneo la Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Abdollahian: Sera za Marekani zinachochea moto wa vita Gaza

    Abdollahian: Sera za Marekani zinachochea moto wa vita Gaza

    Oct 17, 2023 10:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera haribifu za Washington na uungaji mkono wake kwa hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuwashambulia raia katika Ukanda wa Gaza ndiyo sababu kuu ya kushadidi na kupanuka vita katika eneo hilo la pwani ambalo liko chini ya mzingiro.

  • Uturuki kuwasilisha OIC mpango pendekezwa wa kutatua mgogoro wa Gaza

    Uturuki kuwasilisha OIC mpango pendekezwa wa kutatua mgogoro wa Gaza

    Oct 17, 2023 08:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametangaza kuwa atawasilisha katika kikao cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC mpango uliopendekezwa na nchi yake kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Gaza

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS