-
Ripoti: Israel imewateka nyara watoto 9,000 wa Kipalestina tokea 2015
Apr 05, 2022 02:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewateka nyara maelfu ya watoto wa Kipalestina katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Kijana wa Algeria awapa watoto Wapalestina dola 2,800 alizoshinda kwenye mashindano ya Qurani
Apr 04, 2022 21:55Kijana wa Algeria aliyeibuka kidedea katika mashindano ya kuhifadhi Qurani tukufu, ametoa dola karibu elfu tatu alizoshinda kwenye mashindano hayo kwa ajili ya watoto wa Kipalestina.
-
Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin
Apr 03, 2022 03:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelionya vikali jeshi katili la utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Jenin.
-
Israel yawaua shahidi Wapalestina 3 siku ya kwanza ya Ramadhani
Apr 02, 2022 08:38Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihadul Islami: Operesheni dhidi ya Israel ni jibu kwa jinai zake
Mar 31, 2022 22:59Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema operesheni za hivi karibuni za wanamuqawama wa Kipalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni jibu kwa jinai za utawala huo pandikizi na hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya Palestina inahodhiwa na utawala haramu wa Israel
Mar 30, 2022 21:56Kwa mnasaba wa Siku ya Ardhi, Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina (PCBS) imetangaza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hivi sasa umehodhi zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya nchi hiyo kulingana na mipaka ya kihistoria.
-
Wazayuni 5 wauawa kwa kupigwa risasi mjini Tel Aviv
Mar 30, 2022 02:08Kwa akali Waisraeli watano wameangamizwa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo viungani mwa mji wa Tel Aviv.
-
China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu
Mar 29, 2022 22:29China imezishutumu nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kindumakuwili kwa kushughulikia kwa wakati haki za binadamu za watu wanaokimbia vita vya Russia na Ukraine na kupuuza haki za wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati, Afrika na Amerika ya Kusini.
-
Az-Zahar: Operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao walichozabwa wafanya mapatano
Mar 29, 2022 03:27Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao ambacho walichapwa wafanyamapatano na wale walio kitu kimoja na utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Khatibzadeh: Kufanyika mkutano wa uovu ni usaliti kwa lengo tukufu la ukombozi wa Palestina
Mar 28, 2022 22:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kufanyika mkutano wa uovu Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuelezea kuwa ni usaliti kwa lengo tukufu la ukombozi wa Palestina.