Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Wazayuni wawaponda kwa farasi Wapalestina, HAMAS yataka maandamano makubwa

    Wazayuni wawaponda kwa farasi Wapalestina, HAMAS yataka maandamano makubwa

    Feb 19, 2022 23:23

    Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wameripoti kuwa, wanajeshi makatili wa Israel wamewakanyaga kwa farasi Wapalestina waliokuwa wanalalamikia jinai za utawala wa Kizayuni mashariki mwa Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni utawala wa Kizayuni.

  • Makundi ya muqawama yailaani Australia kwa kuiita HAMAS kundi la kigaidi

    Makundi ya muqawama yailaani Australia kwa kuiita HAMAS kundi la kigaidi

    Feb 18, 2022 23:26

    Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yamekosoa vikali kitendo cha Australia cha kuitambua harakati ya muqawama ya HAMAS kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita

    Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita

    Feb 15, 2022 09:41

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao.

  • Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru  'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video

    Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video

    Feb 11, 2022 23:29

    Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.

  • Hatua ya

    Hatua ya "PLO" ya kusimamisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Israel

    Feb 11, 2022 23:02

    Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetangaza kusimamisha kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni wa Israel na ushirikiano wa kiusalama na utawala huo. Baraza Kuu la PLO pia limetangaza kuwa, limesimamisha uratibu wowote wa kiusalama na utawala wa Kizayuni kwa njia mbalimbali.

  • Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina

    Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina

    Feb 11, 2022 03:58

    Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Jihadul Islami amesisitiza kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel yataendelea katika maeneo yote ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina

    HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina

    Feb 10, 2022 23:01

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mrengo wa muqawama utalipiza kisasi cha damu za vijana watatu wa Kipalestina waliouawa shahidi hivi karibuni na jeshi katili la utawala haramu wa Israel.

  • Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus

    Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus

    Feb 10, 2022 23:00

    Katika hali ambayo wakazi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameamua kufanya mgomo kama jibu lao kwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana watatu wa Kipalestina, maafisa wa utawala huo wametamka wazi kuwa Israel iko huru kufanya oparesheni yoyote ya mauaji.

  • Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asisitiza umoja wa Wapalestina

    Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asisitiza umoja wa Wapalestina

    Feb 09, 2022 01:07

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."

  • Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli

    Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli

    Feb 07, 2022 23:19

    Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS