-
Rais wa Uturuki alaani kimya cha "watetezi wa haki za binadamu" mbele ya ukandamizaji mkubwa wa polisi wa Ufaransa
Dec 11, 2018 02:36Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameyalaani vikali mashirika yanayojifanya kutetea haki za binadamu kutokana na kunyamazia kimya kikamilifu ukatili unaofanywa na polisi dhidi ya waandamanaji nchini Ufaransa.
-
Maandamano ya harakati ya vizibao vya njano yatikisa Paris, zaidi ya mia watiwa nguvuni
Dec 01, 2018 15:16Polisi ya Ufaransa imetumia gesi ya kutoa machozi, mabomu ya sauti na mipira ya maji kwa ajili ya kutawanya maelfu ya raia wa nchi hiyo wanaoandamana katika miji mbalimbali hususan katika mji mkuu wa nchi hiyo, Paris kupinga sera za kiuchumi za serikali ya nchi hiyo.
-
Ufaransa kumpokonya uraia wa fahari, San Suu Kyi kutokana na mauaji dhidi ya Waislamu Myanmar
Dec 01, 2018 15:06Jiji la Paris nchini Ufaransa limechukua uamuzi wa kumnyang'anya uraia wa fahari kiongozi wa chama tawala nchini Myanman, Aung San Suu Kyi kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi yajadiliwa katika kikao cha haki za binaadamu mjini Paris
Oct 31, 2018 02:27Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Saudi Arabia, imepewa uzingatiaji na kikao cha dunia cha haki za binaadamu mjini Paris, Ufaransa.
-
Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya
Jun 10, 2018 02:49Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.
-
Sisisitizo la Ufaransa na Misri la kuimarisha uhusiano wao wa kijeshi
Dec 17, 2017 12:27Paris na Cairo zimesisitizia azma yao ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyuga tofauti za kijeshi na kiusalama.
-
Sisitizo la Rais Emmanuel Macron la kuendeleza sera za Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Sep 27, 2017 04:15Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa, nchi yake itaendeleza sera za nchi yake za kurejesha amani na uthabiti na kusaidia kuundwa serikali yenye nguvu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wataalamu watangaza dawa ya kukinga Ukimwi, Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi, Paris
Jul 27, 2017 15:59Wataalamu walioshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi uliofanyika Paris nchini Ufaransa wametangaza mbinu mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV na kutibu maradhi ya Ukimwi.
-
Viongozi wa Kiislamu Ulaya waanza safari ya kulaani ugaidi
Jul 09, 2017 02:52Makumi ya viongozi wa kidini na maimamu wa Swala za jamaa barani Ulaya wameanza safari ya kutembelea nchi kadhaa za bara hilo wakitokea mtaa mashuhuri wa Champs-Elysees mjini Paris. Viongozi hao wa kidini watatembelea maeneo yaliyokumbwa na mashambulizi ya kigaidi katika miezi ya hivi karibuni.
-
Rais wa Russia asisitiza ushirikiano katika utatuzi wa mgogoro wa Syria
May 30, 2017 04:24Rais Vladimir Putin wa Russia amesisistiza kuhusu udharura wa kuwepo ushirikiano katika jitihada za kupambana na ugaidi.