-
Polisi ya Ufaransa: Mtekelezaji wa shambulizi la Paris alikuwa mhalifu sugu
Apr 21, 2017 23:13Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa, mtu aliyehusika na shambulizi la jana mjini Paris alikuwa na historia ya uhalifu na kufungwa jela.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi na umwagaji damu mjini Paris
Apr 21, 2017 11:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la ufyatuaji risasi lililofanywa na kundi la kigaidi la Daesh mjini Paris, Ufaransa siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini humo na imetoa wito kwa nchi mbalimbali kushikamana na kusaidia juhudi za kutokomeza tishio la ugaidi kwa azma thabiti.
-
Ushahidi waonesha: Ndege ya Misri iliangushwa na magaidi
Dec 16, 2016 00:19Kuna uwezekano mkubwa kwamba, ndege ya Misri iliyoanguka mapema mwa mwaka huu na kuua makumi ya watu ililipuliwa na magaidi.
-
Maelfu waandamana mjini Paris, Ufaransa kupinga ndoa za watu wa jinsia moja
Oct 17, 2016 04:35Maelfu ya wapinzani wa ndoa za watu wa jinsia moja, wamefanya maandamano makubwa mjini Paris, Ufaransa.
-
Raia mmoja wa Algeria atiwa mbaroni akihusishwa na mashambulio ya Paris Ufaransa
Feb 28, 2016 13:00Maafisa usalama wa Algeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa anaishi nchini Ubelgiji kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi ya mjini Paris Ufaransa.