-
Putin na Erdogan: Hatua ya Trump ina madhara kwa amani ya Mashariki ya Kati
Dec 07, 2017 23:38Marais wa Russia na Uturuki wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kuitaja hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutambua rasmi mji mtakatifu wa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni kuwa ni hatari na kwa madhara ya amani ya Mashariki ya Kati.
-
Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi
Nov 21, 2017 04:38Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.
-
Rais Putin: Machafuko eneo la Mashariki ya Kati yanasababishwa na kupenda kujitanua kwa baadhi ya pande.
Oct 20, 2017 01:20Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la Mashariki ya Kati imekuwa mbaya kutokana na njama za baadhi ya madola katika kulisukuma eneo hilo kuelekea kwenye maslahi yao binafsi.
-
Putin na Salman wakutana kwa mazungumzo ya faragha mjini Moscow
Oct 06, 2017 04:49Mfalme Salman bin Abduaziz wa Saudi Arabia jana alikutana na Rais Vladimir Putin wa Russia katika ikulu ya Kremlin mjini Moscow.
-
Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea ya Kaskazini
Oct 05, 2017 00:46Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea Kaskazini.
-
Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote
Sep 05, 2017 09:45Rais wa Russia Vladimir Putin ametahadharisha kuhusu kuibuka mgogoro mkubwa wa kimataifa iwapo kadhia ya Peninsula ya Korea haitasuluhishwa kwa njia ya kidiplomasia.
-
Putin: Kuishinikiza Korea ya Kaskazini hakutakuwa na taathira
Sep 01, 2017 03:36Rais Vladimir Putin wa Russia ameishauri Marekani na waitifaki wake barani Asia kutochukua hatua za kuishinikiza Korea ya Kaskazini na ametoa wito wa mazungumzo ili kuhitimisha mvutano kuhusu miradi ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia
Jun 07, 2017 02:46Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, iwapo Marekani itaamua kuingia katika vita vya nyuklia na nchi yake, hakuna upande utakaopona 'kusherehekea' ushindi.
-
Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
May 31, 2017 22:49Kwa mara nyingine tena Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu na nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri
May 17, 2017 23:57Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.