-
Qatar yatoa masharti ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Ghuba ya Uajemi
Jun 08, 2020 07:39Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesiistiza kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo kuhusu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Ghuba ya Uajemi kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yawe katika fremu ya kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya Qatar na kutoingiliwa masuala yake ya ndani.
-
Mwaka wa tatu wa mzozo baina ya nchi za Kiarabu
Jun 05, 2020 08:17Ijumaa Juni tano 2020 imesadifiana na kuingia mwaka wa nne tangu uanze mgogoro baina ya nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Rais Rouhani aitahadharisha Marekani kuhusu kutatiza meli za mafuta za Iran
May 24, 2020 03:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria baadhi ya chokochoko za Marekani katika eneo la Bahari ya Caribbean na kusema: "Iwapo meli za mafuta za Iran zitakabliwa na tatizo lolote kutoka Marekani, basi Iran nayo itawaibulia matatizo."
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Qatar wajadili matukio ya Afghanistan
Apr 25, 2020 21:46Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamejadili katika mazungumzo yao kwa njia ya simu matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan.
-
Rouhani: Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani
Apr 25, 2020 06:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani na kuongeza kuwa: "Iran katu haitakuwa muanzishaji wa taharuki na mapigano katika eneo."
-
Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani
Apr 21, 2020 22:44Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.
-
Kuanza tena uhusiano wa posta kati ya Misri, Saudi Arabia, Bahrain na Qatar
Feb 25, 2020 09:57Katika hatua yao mpya Misri, Saudi Arabia na Bahrain zimeamua kuanza tena kutoa huduma za posta kwa Qatar.
-
Rais wa Tunisia: Quds ni mji mkuu wa Palestina, si bidhaa ya kuuzwa
Feb 25, 2020 04:18Rais Kais Saied wa Tunisia amesema Palestina ni milki ya Wapalestina na Quds tukufu inapaswa kuwa mji mkuu wa taifa hilo la Kiarabu.
-
Mazungumzo eti ya amani kati ya Marekani na Taleban huko Qatar yavunjika
Jan 17, 2020 23:25Waziri wa Serikali Katika Masuala ya Afghanistan, amesema kuwa mazungumzo eti ya 'amani' kati ya Marekani na kundi la Taleban yanayofanyika nchini Qatar, yamevunjika.
-
Sababu zinazoifanya ziara ya Amir wa Qatar nchini Iran kuwa na umuhimu mkubwa
Jan 15, 2020 02:43Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Jumapili iliyopita ya tarehe 12 Januari 2020, alifanya ziara rasmi hapa mjini Tehran. Katika ziara hiyo, Sheikh Tamim alionana na viongozi wa ngazi za juu kabisa wa Iran akiwemo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na Rais Hassan Rouhani.