Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti

    Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti

    Jan 12, 2020 21:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa kisiasa baina ya Iran na Qatar ni mzuri lakini nchi mbili hizo zina fursa ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Doha na Tehran na katika nyuga mbalimbali zikiwemo za uchumi, biashara, utalii na sayansi.

  • Amir wa Qatar safarini Iran

    Amir wa Qatar safarini Iran

    Jan 12, 2020 08:35

    Amir wa Qatar leo amewasili Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo an viongozi wa ngazi za juu wa Iran.

  • Dakta Zarif: Uingiliaji wa vikosi vya kigeni ndio sababu ya kuongezeka mivutano katika eneo

    Dakta Zarif: Uingiliaji wa vikosi vya kigeni ndio sababu ya kuongezeka mivutano katika eneo

    Jan 04, 2020 10:34

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuona kunakuweko mivutano katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kwamba, uwepo wa vikosi vya kigeni na vya nje ya eneo hili ndio sababu ya ukosefu wa amani na usalama na chimbuko la kuongezeka migogoro katika eneo hili.

  • Turk al-Faisal: Qatar inaunga mkono makundi ya upinzani katika Mashariki ya Kati

    Turk al-Faisal: Qatar inaunga mkono makundi ya upinzani katika Mashariki ya Kati

    Dec 21, 2019 10:08

    Turk al-Faisal, Mkuu wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa nchini Saudi Arabia ameituhumu nchi ya Qatar kwamba, imekuwa ikichochea ghasia na machafuko katika nchi za Bahrain, Imarati na Saudia kupitia kuyaunga kwake mkono na kuyasaidia kifedha makundi ya upinzani.

  • Qatar: Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi

    Qatar: Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi

    Dec 17, 2019 09:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar: Hatuwezi kuzisahau nchi zilizotusaidia katika kipindi cha vikwazo

    Qatar: Hatuwezi kuzisahau nchi zilizotusaidia katika kipindi cha vikwazo

    Dec 16, 2019 23:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, licha ya Doha kuyafanyia uchunguzi matakwa ya nchi za Ghuba ya Uajemi yenye lengo la kutatua mozozo na hitilafu, lakini katu haitazisahau nchi zilizoisaidia Qatar katika kipindi cha vikwazo na mashinikizo.

  • Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Dec 15, 2019 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.

  • Qatar yasisitiza uungaji mkono wake kwa Wapalestina hadi wapate haki zao za kisheria

    Qatar yasisitiza uungaji mkono wake kwa Wapalestina hadi wapate haki zao za kisheria

    Nov 06, 2019 12:26

    Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani amesema: Amani katika Mashariki ya Kati (Magharibi ya Asia) itapatikana pale tu taifa la Palestina litakaporejeshewa haki zake za kisheria.

  • Qatar imefanikiwa kukabiliana na vikwazo vya Saudia na waitifaki wake

    Qatar imefanikiwa kukabiliana na vikwazo vya Saudia na waitifaki wake

    Nov 06, 2019 04:14

    Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema nchi yake imefanikiwa katika kukabiliana na vikwazo vya Saudi Arabia na waitifaki wake.

  • Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Oct 20, 2019 04:07

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baadhi ya nchi za Kiarabu katika eneo zinaweza kupunguza taharuki miongoni mwao kwa njia ya mazungumzo na diplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS