Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Qatar imefanikiwa kukabiliana na vikwazo vya Saudia na waitifaki wake

    Qatar imefanikiwa kukabiliana na vikwazo vya Saudia na waitifaki wake

    Nov 06, 2019 04:14

    Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema nchi yake imefanikiwa katika kukabiliana na vikwazo vya Saudi Arabia na waitifaki wake.

  • Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Qatar: Diplomasia itumike kupunguza taharuki kati ya Iran na Waarabu

    Oct 20, 2019 04:07

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baadhi ya nchi za Kiarabu katika eneo zinaweza kupunguza taharuki miongoni mwao kwa njia ya mazungumzo na diplomasia.

  • Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar

    Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar

    Oct 19, 2019 02:10

    Msemaji wa Idara ya Siasa ya kundi la Talibal la Afghanistan amesema kuwa Marekani inakwamisha utekelezwaji wa makubaliano ya Qatar.

  • Qatar yatangaza kufuta mfumo wa Kafala katika ajira

    Qatar yatangaza kufuta mfumo wa Kafala katika ajira

    Oct 18, 2019 23:33

    Serikali ya Qatar imeahidi kufuta mfumo wa ajira unaowabana wafanyakazi wahajiri kwa waajiri wao na kuwafanya walazimike kupata idhini ya kampuni wanazotumikia ili kuweza kuondoka nchini humo.

  • Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram

    Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram

    Oct 05, 2019 11:35

    Rais wa zamani wa Benin amefichua kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia unawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram wanaoendesha vitendo vya kigaidi magharibi mwa bara la Afrika.

  • Marekani yafunga kamandi yake ya Jeshi la Anga Mashariki ya Kati nchini Qatar

    Marekani yafunga kamandi yake ya Jeshi la Anga Mashariki ya Kati nchini Qatar

    Sep 30, 2019 23:17

    Jeshi la Anga la Marekani limetangaza kuhamisha kwa muda kamandi yake ya Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) kutoka Qatar hadi jimbo la Carolina Kusini nchini Marekani.

  • Qatar: Palestina ni kadhia  muhimu zaidi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu

    Qatar: Palestina ni kadhia muhimu zaidi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu

    Sep 12, 2019 07:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amelaani hatua ya Wazayuni kukiuka haki za taifa la Palestina na kusema: "Palestina ni kipaumbele cha kwanza kwa nchi za Kiislamu na Kiarabu."

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar asisitiza umuhimu wa kulindwa umoja na mshikamano huko Yemen

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar asisitiza umuhimu wa kulindwa umoja na mshikamano huko Yemen

    Aug 16, 2019 23:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesisitiza kuwa, kuna ulazima wa kulindwa umoja na mshikamano huko Yemen baada ya kufichuliwa njama za Saudi Arabia na Imarati za kuigawa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo

    Aug 08, 2019 08:01

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.

  • Iran na Qatar zasaini hati ya maelewano ya ushirikiano wa ulinzi wa mpakani

    Iran na Qatar zasaini hati ya maelewano ya ushirikiano wa ulinzi wa mpakani

    Aug 06, 2019 03:13

    Kamanda wa kikosi cha walinzi wa mpakani cha jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kamanda wa gadi ya pwani ya Qatar wamesaini hati ya ushirikiano wa ulinzi wa mpakani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS