Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Iran, Uturuki na Qatar zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Iran, Uturuki na Qatar zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Aug 06, 2017 02:52

    Mawaziri watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Qatar na Uturuki wamefanya mkutano hapa mjini Tehran na kuzungumzia mikakati ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa pande tatu.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Nchi nne za Kiarabu zilizotuwekea vikwazo zina nia mbaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Nchi nne za Kiarabu zilizotuwekea vikwazo zina nia mbaya

    Aug 02, 2017 22:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar kwa mara nyingine tena amelaani kikao dhidi ya nchi yake kilichofanyika hivi karibuni huko Bahrain na kuendelea kuzingirwa nchi hiyo na Saudi Arabia na waitifaki wake.

  • Qatar: Saudi Arabia inaitumia Hija kwa malengo ya kisiasa

    Qatar: Saudi Arabia inaitumia Hija kwa malengo ya kisiasa

    Aug 01, 2017 03:43

    Wizara ya Waqfu na Masuaia ya Kiislamu ya Qatar imeituhumu Saudi Arabia kuwa inaitumia vibaya ibada ya Hija kwa malengo yake ya kisiasa.

  • Nchi nne za Kiarabu zang'ang'ania msimamo wao wa kuendeleza vikwazo dhidi ya Qatar

    Nchi nne za Kiarabu zang'ang'ania msimamo wao wa kuendeleza vikwazo dhidi ya Qatar

    Jul 30, 2017 23:57

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu zilizovunja uhusiano wa kidiplomasia na Qatar na kuiwekea vikwazo nchi hiyo wametoa taarifa wakitilia mkazo misimamo ya hapo kabla ya nchi hizo na kuendelezwa vikwazo dhidi ya Doha.

  • Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja

    Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja

    Jul 30, 2017 10:43

    Kamisheni Taifa ya Haki za Binadamu nchini Qatar imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.

  • Qatar yauomba Umoja wa Mataifa usaidie kutatua mgogoro wake na nchi nyingine za Kiarabu

    Qatar yauomba Umoja wa Mataifa usaidie kutatua mgogoro wake na nchi nyingine za Kiarabu

    Jul 28, 2017 02:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jasim Al Thani amemwomba Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa achukue hatua kusaidia kutatua mgogoro kati ya nchi yake na nchi nyingine kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia.

  • Qatar yakadhibisha madai mapya ya Saudi Arabia

    Qatar yakadhibisha madai mapya ya Saudi Arabia

    Jul 26, 2017 22:53

    Mkurugenzi wa Ofisi ya Mawasiliano ya serikali ya Qatar ameyataja madai mapya ya nchi nne za Kiarabu zilizoiwekea Doha vikwazo kuwa ni ya uwongo na yenye kukatisha tamaa.

  • Nchi nne za Kiarabu zashadidisha vikwazo vyao dhidi ya Qatar

    Nchi nne za Kiarabu zashadidisha vikwazo vyao dhidi ya Qatar

    Jul 25, 2017 09:46

    Nchi nne za Kiarabu zilizovunja uhusiano wao wa kidiplomasia na Qatar na kuiwekea vikwazo nchi hiyo ya Kiarabu leo zimetoa orodha mpya ya majina ya taasisi na shakhsia zinaodai kuwa wana mfungamano na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Qatar.

  • London yakaribisha juhudi za Doha za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu

    London yakaribisha juhudi za Doha za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu

    Jul 24, 2017 02:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekaribisha juhudi za serikali ya Qatar za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Jul 23, 2017 09:37

    Umoja wa Falme za Kiarabu umekataa wito uliotolewa hivi karibuni na Amir wa Qatar, Sheikh Tamin bin Hamad al-Thani, wa kufanyika mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, na kusisitiza kuwa Doha sharti ibadili sera zake kabla ya kufanyika jitihada zozote za kuiondolea vikwazo nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi, iivyowekewa na Saudia na wapambe wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS