-
Qatar: Tangu awali tulipinga muungano wa Saudia wa kuishambulia Yemen
Jul 19, 2017 09:50Waziri wa Ulinzi wa Qatar amesema kuwa, tangu awali Doha ilipinga muungano unaoongozwa na Saudia katika kuishambulia kijeshi Yemen, kwani iliamini utatuzi wa mgogoro huo haukuwa wa kijeshi.
-
Imarati: Juhudi za upatanishi wa Kuwait katika mgogoro wa nchi za Kiarabu zitaambulia patupu
Jul 18, 2017 21:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Imarati, Anwar Mohammed Qarqash amesema kuwa, juhudi za upatanishi wa Kuwait kwa ajili ya kutafuta utatuzi wa mgogoro wa nchi za Kiarabu, zitaambulia patupu iwapo Qatar haitabadilisha siasa zake.
-
Qatar kuishtaki Imarat kwa kuhusika na udukuzi
Jul 18, 2017 10:44Serikali ya Qatar imeeleza kusikitishwa sana na hatua ya Imarat ya kudukua mitandao ya intaneti ya serikali ya Doha, suala ambalo limeibuka mgogoro wa sasa kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza kuwa, Doha itawafungulia mashtaka wahusika wa uhalifu huo.
-
Kuzidi kutokota mgogoro ndani ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Jul 17, 2017 05:28Baada ya Rex Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kushindwa kupatanisha mgogoro wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ulioanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Qatar, maafisa wa kijasusi wa Marekani wametangaza kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati ndiyo iliyodukua mitandao ya Intaneti ya Qatar na kuzua mgogoro uliopo hivi sasa.
-
Saudia yaichochea FIFA iipokonye Qatar uwenyeji wa Kombe la Dunia 2022
Jul 16, 2017 02:31Saudi Arabia inaziongoza nchi kadhaa za Kiarabu katika kulishinikiza Shirikisho la Soka Duniani kuipokonya Qatar haki ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2022 kwa madai kuwa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi inaunga mkono ugaidi.
-
Qatar: Ugaidi wa kisiasa ndio kikwazo cha vita dhidi ya ugaidi
Jul 15, 2017 23:45Serikali ya Qatar imetangaza kuwa, ugaidi wa kisiasa na kifikra wa baadhi ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati ndio kikwazo kikuu hii leo katika vita dhidi ya ugaidi.
-
HRW: Saudia na wenzake imekiuka haki za binaadamu kwa vikwazo vyao Qatar
Jul 14, 2017 10:05Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limezitaka nchi za Saudia, Imarati na Bahrain kuheshimu haki za binaadamu katika vikwazo vyao dhidi ya Qatar.
-
Qatar yaionya Saudia na hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Doha
Jul 10, 2017 22:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar ameionya Saudi Arabia kuhusiana na kuchukua hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi yake.
-
Ahadi ya kuchekesha ya Saudia katika kuishawishi Iraq ijiunge na nchi zilizo dhidi ya Qatar
Jul 10, 2017 22:36Vyanzo vilivyo karibu na Haidar al-Abadi Waziri Mkuu wa Iraq vimesema kuwa Saudi Arabia inaishiinikiza nchi hiyo ili ijiunge na nchi zinazoiwekea vikwazo Qatar
-
Nchi za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo Qatar zadhurika kiuchumi
Jul 08, 2017 22:21Kuongezeka mivutano katika uhusuano wa nchi nne za Kiarabu na Qatar kumezisababishia madhara makubwa ya kiuchumi nchi za Saudia na Imarati.