Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Biashara ya Aal Saud na Marekani: Tutaiunga mkono Israel; mtuachie tufanye jinai Yemen

    Biashara ya Aal Saud na Marekani: Tutaiunga mkono Israel; mtuachie tufanye jinai Yemen

    Dec 19, 2017 02:45

    Vitendo na misimamo ya ukoo wa Aal Saud kuhusiana na Quds na Yemen inathibitisha kwamba serikali za Saudia na Marekani zimefikia makubaliano maalumu ambayo matokeo yake ni kuwa, ukoo wa Aal Saud utaishia patupu.

  • Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Dec 19, 2017 00:56

    Licha ya wanachama 14 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuupigia kura ya ndio muswada uliopendekezwa na Misri kuhusu mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas, lakini Marekani imeukwamisha muswada huo kwa kura yake ya veto.

  • Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Dec 18, 2017 23:20

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu imesisitiza kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel ni ukiukaji wa wazi wa haki za wananchi wa Palestina.

  • Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Dec 18, 2017 23:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ni njama zilizofeli za kutaka kuzima mapambano ya Intifadha ya kuiunga mkono Quds katika ardhi zote za Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu

    Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu

    Dec 18, 2017 11:04

    Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, hii leo ulimwengu umefahamu na kudiriki kwamba, dola la Marekani ndio adui mkuu wa Waarabu na Waislamu.

  • Larijani: Israel inafanya njama za kuzusha vurugu za kisiasa katika Mashariki ya Kati

    Larijani: Israel inafanya njama za kuzusha vurugu za kisiasa katika Mashariki ya Kati

    Dec 18, 2017 10:44

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala dhalimu wa Israel unafanya njama za kuleta vurugu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kuongeza kuwa, endapo nchi za Kiislamu zitadumisha umoja na mshikamano zitazuia kufikiwa malengo hayo ya Wazayuni.

  • Utawala wa Kizayuni na utumiaji wa gesi za sumu dhidi ya Wapalestina

    Utawala wa Kizayuni na utumiaji wa gesi za sumu dhidi ya Wapalestina

    Dec 18, 2017 08:00

    Kitendo cha kiuadui cha rais wa Marekani, Donald Trump cha kuitangaza Quds tukufu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiuka sheria na makubaliano yote ya kimataifa na kuandaa uwanja wa kufutwa kikamilifu taifa la Palestina katika uso wa dunia.

  • Saudia yapanga uhaini mwingine, mara hii ni kuiuzia Israel maeneo ya Palestina, Quds Tukufu ikiwemo

    Saudia yapanga uhaini mwingine, mara hii ni kuiuzia Israel maeneo ya Palestina, Quds Tukufu ikiwemo

    Dec 18, 2017 01:13

    Tovuti ya Intaneti ya Arabi 21 imefichua kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudia anapanga njama kubwa ambayo mara hii inajumuisha kuiuzia Israel eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) uliko Msikiti wa Al Aqsa kwa mabilioni ya dola.

  • Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Kiislamu kufanyika kesho Tehran

    Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Kiislamu kufanyika kesho Tehran

    Dec 17, 2017 10:43

    Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Kimataifa wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kinatarajiwa kufanyika kesho hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Maspika wa Mabunge ya nchi tatu za Iran, Mali na Iraq.

  • Huenda Baraza la Usalama la UN likakutana kesho kujadili uamuzi wa Trump dhidi ya Quds

    Huenda Baraza la Usalama la UN likakutana kesho kujadili uamuzi wa Trump dhidi ya Quds

    Dec 16, 2017 04:41

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, kuna uwezekano kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la umoja huo kikafanyika hapo kesho kujadili rasimu ya azimio linalohusu uamuzi uliochukuwa na Marekani dhidi ya mji wa Baitul Muqaddas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS