Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

    Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel

    Dec 08, 2017 04:24

    Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Matokeo ya uamuzi wa Trump kuhusu Quds kwa usalama wa Mashariki ya Kati

    Matokeo ya uamuzi wa Trump kuhusu Quds kwa usalama wa Mashariki ya Kati

    Dec 08, 2017 04:16

    Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua rasmi Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na wakati huohuo kuamuru kuhamishiwa huko ubalozi wa Marekani kutoka mjini Tel Aviv bila shaka utakuwa na matokeo muhimu kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.

  • Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu hatua ya Trump dhidi ya Quds Tukufu

    Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu hatua ya Trump dhidi ya Quds Tukufu

    Dec 08, 2017 01:18

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutambua rasmi mji wa Beitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kuongeza kuwa hatua hiyo ya upande mmoja bila shaka itavuruga utulivu wa ulimwengu na juhudi zote zilizofanywa kwa ajili ya kutatua mzozo wa Palestina.

  • Mahojiano ya Salum Bendera na Ustadh Muhammad Qassim kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI

    Mahojiano ya Salum Bendera na Ustadh Muhammad Qassim kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI

    Dec 07, 2017 13:21

    Uamuzi wa rais wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kulaaniwa na hata waitifaki wa karibu wa Marekani katika kila kona ya dunia.

  • Taarifa ya OIC ya kulaani uamuzi wa Marekani kuhusu Baytul Muqaddas

    Taarifa ya OIC ya kulaani uamuzi wa Marekani kuhusu Baytul Muqaddas

    Dec 07, 2017 11:38

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeonyesha kusikitishwa kwake na uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yasema kesho ni 'Ijumaa ya Ghadhabu' ya kuihami Quds

    Hamas yasema kesho ni 'Ijumaa ya Ghadhabu' ya kuihami Quds

    Dec 07, 2017 11:20

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imeutaja uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kama tangazo la vita huku ikisema kuwa kesho itakuwa Ijumaa ya Ghadhabu na fursa kwa ulimwengu wa Kiislamu kuonyesha hasira zao dhidi ya Washington na Tel Aviv.

  • Baraza la Usalama laitisha kikao cha dharura kuzungumzia Quds baada ya uchokozi wa Trump

    Baraza la Usalama laitisha kikao cha dharura kuzungumzia Quds baada ya uchokozi wa Trump

    Dec 07, 2017 03:59

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao cha dharura kesho Ijumaa kuzungumzia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Dec 07, 2017 00:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu, ambayo mbali na kulaani kutangazwa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel imesisitiza pia kwamba tangazo hilo lilotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani ni ukiukaji wa wazi wa maazimio ya kimataifa.

  • Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni

    Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni

    Dec 06, 2017 22:13

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.

  • Nchi za Ulaya: Hatua ya Marekani dhidi ya Quds inatia wasiwasi

    Nchi za Ulaya: Hatua ya Marekani dhidi ya Quds inatia wasiwasi

    Dec 06, 2017 11:31

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Uingereza, Sweden na Ujerumani wamesema kuwa wana wasiwasi mkubwa na uamuzi wa upande mmoja wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutambua rasmi mji wa Quds kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS