-
Palestina yaitaka jamii ya kimataifa isitishe njama za Israel za kuuyahudisha mji wa Quds
Dec 24, 2018 23:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka na za maana ili kusitisha njama za utawala haramu wa Israel za kuuyahudisha mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Arab League yazilaani Brazil, Australia kwa kuitambua Quds kuwa eti mji mkuu wa Israel
Dec 19, 2018 04:10Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepasisha azimio la kulaani hatua ya Brazil na Australia ya kuutambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel kuwa eti ni mji mkuu wa utawala huo pandikizi.
-
Australia yafuata mkumbo, yaitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Dec 15, 2018 03:23Australia imesema inautambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds
Dec 11, 2018 03:45Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitahadharisha Brazil dhidi ya mpango wake wa kuuhamishia ubalozi katika mji wa Quds kutoka Tel Aviv, ikisisitiza kwamba hatua hiyo itakuwa na athari mbaya katika uhusiano wa nchi hiyo na nchi za Kiarabu.
-
Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika
Nov 25, 2018 04:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).
-
Makanisa ya Marekani yalaani jinai za Israel dhidi ya Wakristo wa Palestina
Nov 11, 2018 01:07Makumi ya makanisa ya nchini Marekani yamemwandikia barua kali waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Mike Pompeo na kumtaka aulazimishe utawala wa Kizayuni ukomeshe vitendo vyake dhidi ya makanisa ya mji wa Quds huko Palestina.
-
Misri yafuta safari ya waziri wa Brazil nchini humo kutokana na Quds
Nov 06, 2018 04:34Misri imesimamisha safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil aliyetazamiwa kuitembelea nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wiki hii, kulalamikia kitendo cha Rais Mteule wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake ulioko Israel katika mji wa Quds Tukufu.
-
Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu
Nov 06, 2018 04:30Wakuu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Quds tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakikosoa misimamo yake ya kibaguzi.
-
Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds
Nov 02, 2018 04:34Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel
Nov 01, 2018 12:51Kituo cha Palestina cha Quds cha taaluma za masuala ya Kizayuni kimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 300 wameuliwa shahidi na askari wa Israel tangu Baitul Muqaddas itangazwe kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.