-
Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu
Jan 27, 2023 02:48Rais wa Iran amesema vitendo vya karibuni vya kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya ni tusi kwa dini zote za mbinguni zenye asili ya Nabii Ibrahim (AS), na kwa jamii yote ya wanadamu.
-
Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya
Jan 26, 2023 05:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."
-
Nchi za Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima tena Qurani Uholanzi
Jan 25, 2023 11:48Mataifa na jumuiya za Kiislamu kote duniani zimelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Uholanzi, siku chache baada ya kutokea uafriti mwingine wa kukichoma Kitabu hicho Kitakatifu cha Waislamu nchini Sweden.
-
"Sweden haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa barakoa ya uhuru"
Jan 25, 2023 02:30Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden na kueleza kuwa, nchi hiyo ya Magharibi haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa kutumia barakoa ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
-
Walimwengu waendelea kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchinii Sweden
Jan 23, 2023 07:14Wananchi wa mataifa mbalimbali ya Kiislamu na yasiyo ya Kiislamu wameendelea kulaani hatua ya kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Hizbullah, nchi za Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Sweden
Jan 23, 2023 05:03Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imejiunga na nchi za Kiislamu duniani kulaani kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden (Uswidi), na kusisitiza kuwa kuyavunjia heshima matukufu ya Umma wa Kiislamu ni jambo lisilokubalika.
-
Iran, Pakistan, Uturuki zalaani kuchomwa moto nakala ya Qurani Sweden
Jan 22, 2023 08:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Nchi 80 kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
Dec 26, 2022 11:57Finali za Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran zitaanza katika mji mkuu wa Iran, Tehran, mnamo Februari 18, 2023.
-
Waislamu wahadharishwa na usambazwaji wa nakala zilizopotoshwa za Qur'ani katika intaneti
Dec 11, 2022 02:29Jumuiya ya Kimataifa ya Uislamu imetangaza kuwa, kuna nakala zilizopotoshwa za Qur'ani Tukufu zinazosambazwa katika baadhi ya tovuti zisizojulikana rasmi.
-
Al-Azhar yalaani kuchomwa moto Qurani na walowezi wa Kizayuni
Oct 11, 2022 12:12Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qurani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.