-
Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani
Aug 12, 2022 08:09Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Kamanda Salami: Chuki za Marekani kwa SEPAH hazina mwisho
May 06, 2022 07:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, chuki na uadui wa Marekani kwa jeshi hilo la Iran hauna mwisho na hakuna siku utamalizika.
-
Mhalifu mwenye misimamo mikali achoma moto Qurani Tukufu Sweden
Apr 16, 2022 02:39Mhalifu mmoja mwenye misimamo ya kufurutu ada wa mrengo wa kulia nchini Sweden amechoma nakala inayoaminiwa ni ya Qurani Tukufu katika mtaa ambao akthari ya wakazi wake ni Waislamu.
-
Wanafunzi 20 wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu wafanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Qur'ani Tukufu
Feb 26, 2022 12:36Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia
Jan 11, 2022 14:17Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
-
Hatua ya Apple kuondoa programu ya Quran Majeed kwenye maduka yake Uchina yazua maswali mengi
Oct 17, 2021 02:26Hatua ya kampuni ya Apple ya Marekani ya kuondoa program ya Quran Majeed katika maduka yake nchini China imezua maswali mengi juu ya malengo na sababu kitendo hicho.
-
Waislamu Bangladesh waandamana kulaani kuvunjiwa heshima Qurani Hekaluni
Oct 14, 2021 14:42Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Bangladesh.
-
Rouhani: Kuielewa Qurani Tukufu, ndio ufunguo wa kuongoka vijana
Feb 13, 2021 11:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
-
Askofu Mkuu wa Sweden alaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani tukufu
Sep 14, 2020 08:41Askofu Mkuu wa Sweden na maafisa wengine wa ngazi za juu wa kanisa la nchi hiyo wametoa taarifa wakilaani kitendo cha kundi moja lenye misimamo mikali la nchi hiyo cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu.