Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Kuvunjwa Bunge na mwanzo wa kipindi kipya cha kisiasa nchini Algeria

    Kuvunjwa Bunge na mwanzo wa kipindi kipya cha kisiasa nchini Algeria

    Feb 20, 2021 06:47

    Katika miaka ya karibuni Algeria imekumbwa na misukosuko na matukio mengi ya kisiasa. Tukio la karibuni kabisa nihatua ya Rais Abdelmadjid Tebboune wa nchi hiyo ya kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi wa mapema. Tebboune alitangaza hatua hiyo Alkhamisi iliyopita katika hotuba yake kwa taifa iliyotolewa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Shahidi.

  • Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani

    Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani

    Feb 19, 2021 04:38

    Ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari na ukatili dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Marekani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa, na hadi sasa Wamarekani weusi wangali wanasumbuliwa na aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili.

  • Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Hatua mpya ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Feb 18, 2021 22:53

    Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na kushadidi mashinikizo dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa unaonekana kushtadi na kuchukua mkondo mpana zaidi katika miaka ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

  • Rais Macron ashambuliwa kwa kutilia shaka chanjo ya corona

    Rais Macron ashambuliwa kwa kutilia shaka chanjo ya corona

    Jan 30, 2021 04:29

    Wabunge wahafidhina na wanasayansi wa Ulaya wamemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kusema kuwa chanjo ya kukabiliana na corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza 'haifanyi kazi' kama ilivyotarajiwa.

  • Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Muamala wa Trump kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Dec 12, 2020 08:06

    Rais Donald Trump wa Marekani juzi Alhamisi alituma ujumbe katika ukurasa wake wa twitter na kueleza kuwa Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia.

  • Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Nov 15, 2020 23:03

    Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.

  • Kuuzuliwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani; pigo jingine kwa serikali inayotetereka ya Trump

    Kuuzuliwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani; pigo jingine kwa serikali inayotetereka ya Trump

    Nov 10, 2020 23:07

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo akitokea nje ya mzunguko wa kisiasa, katika uga wa timu yake ya uongozi pia amekuwa na utendaji wa ajabu na ambao haujazoeleka.

  • Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu

    Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu

    Nov 07, 2020 08:17

    Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.

  • Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano

    Rais Magufuli wa Tanzania aapishwa, atoa mwito wa ushirikiano

    Nov 05, 2020 08:16

    Rais John Pombe Magufuli ameapishwa leo Alkhamisi kuhudumu muhula wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%

    Outtara (78) ashinda muhula tata wa tatu wa urais Ivory Coast kwa 94%

    Nov 03, 2020 03:43

    Tume ya Uchaguzi ya Ivory Casot imemtangaza Rais wa sasa wa nchi hiyo, Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS