-
Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria
Oct 06, 2020 07:48Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.
-
Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi
Sep 30, 2020 09:17Serikali ya Sierra Leone imemuwekea vikwazo vya kusafiri nje ya nchi aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma anayeandamwa na tuhuma za ufisadi wa kifedha.
-
Rais wa Ghana: Nitafanya jitihada za kuimarisha uhusiano wetu na Iran
Sep 24, 2020 04:22Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema atafanya juu chini kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 14, 2020 23:05Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
Ecowas yalitaka jeshi la Mali limtangaze rais ndani ya wiki moja
Sep 07, 2020 23:03Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) imewataka wanajeshi wafanya mapinduzi huko Mali kumtangaza rais mpya wa mpito wa nchi hiyo kufikia Septemba 15.
-
Rais Conde (82) wa Guinea kugombea muhula wa tatu wa urais
Sep 01, 2020 03:16Rais Alpha Conde wa Guinea amekubali uteuzi wa chama chake wa kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Wanajeshi waliofanya mapinduzi Mali wamuachia huru Rais Keita
Aug 27, 2020 21:54Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Mali wametangaza habari ya kumuachia huru Rais Ibrahim Boubacar Keita wa nchi hiyo, ambaye amekuwa akizuiliwa tokea tarehe 18 mwezi huu.
-
EACJ yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa urais nchini Uganda
Jul 16, 2020 03:10Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki EACJ imeanza kusikiliza kesi ya kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, ya kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo, wa miaka 75.
-
Rais wa Ghana ajiweka karantini baada ya mpambe wake kuambukizwa corona
Jul 05, 2020 23:03Rais Nana Dankwa Akufo-Addo wa Ghana amejiweka karantini baada ya mpambe wake wa karibu kuthibitika kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Maalim Seif atangaza kugombea tena urais Zanzibar kwa mara ya 6 huku akisisitiza mshindi halisi ndiye atakayekuwa rais
Jun 28, 2020 11:45Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa nchini Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad, ametangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.