-
Rouhani: Kutengwa hivi sasa Marekani hakujawahi kushuhudiwa katika historia ya uhasama na Iran
Sep 23, 2019 12:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kutengwa hivi sasa Marekani kuwa hakujawahi kushuhudiwa katika historia ya uhasama na Iran.
-
Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni
Sep 22, 2019 12:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuweko mifarakano baina ya mataifa ya Mashariki ya Kati ndilo takwa la Marekani na Uzayuni.
-
Rouhani: Iran iko tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake
Sep 22, 2019 08:16Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ipo tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake, sambamba na kusamehe makosa yaliyofanywa na baadhi ya nchi hizo.
-
Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN
Sep 19, 2019 11:27Marekani ambayo ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York daima imekuwa ikitumia suala la kutoa viza kwa jumbe na maafisa wa nchi mbalimbali wanaotaka kushiriki vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kutoa mashinikizo dhidi ya nchi zinazopinga sera za kibeberu za nchi hiyo.
-
Rouhani: Mapambano ya mataifa ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa
Sep 18, 2019 12:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muqawama na mapambano ya mataifa yaliyoamka ya eneo ni mwenge usioweza kuzimwa na kusisitiza kuwa: " Jibu la Wayemen ambalo ni onyo linapaswa kuwa somo kwa maadui wa eneo ili wasitishe vita katika eneo."
-
Iran: Rais Rouhani hana mpango wowote wa kukutana na Trump
Sep 17, 2019 03:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali uwezekano wowote wa Rais Hassan Rouhani kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano ujao wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Rouhani: Ni lazima Marekani iachane na sera zake za vita na mashinikizo
Sep 12, 2019 04:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, stratijia ya taifa la Iran katika kukabiliana na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ni kusimama kidete. Ameongeza kuwa: "Ni lazima Marekani iweke kando sera zake za kupenda vita na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa."
-
Kutekelezwa awamu ya tatu; radiamali ya Iran ya kuchezea fursa madola ya Ulaya
Sep 05, 2019 08:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa agizo la kutekelezwa hatua ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makuubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais Rouhani: Awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji katika JCPOA itaanza kesho Ijumaa
Sep 05, 2019 04:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameatangaza kuwa, awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa kesho Ijumaa.
-
Rais Rouhani: Iran itatekeleza awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA
Sep 04, 2019 13:11Rais Hassan Rouhani amesema, mazungumzo na nchi za Ulaya bado hayajafikia mwafaka kamili; na kwa msingi huo Iran itachukua hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.